Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;
"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka:
"Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu Ninayemuamini na Nazitumikia Nguvu Zake na Uweza Wake. Kikao Kingine Mtakachokaa na Kupanga Maumivu Na Mauti...
Wakuu sasa naona wameamua kuwatumia na wasanii ili kuwananga viongozi wa dini, juzi tulimsikia Sheikh Mwaipopo na sasa ni wasanii. Vita dhidi ya haki ni nzito
===
Msanii wa filamu Tanzania Jimmy Mafufu ambaye pia hivi karibuni alitangaza kurudi CCM akitokea CHADEMA amehoji kauli zinazotolew...
Jopo la Mawakili 31 wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti huyo.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza...
Kupigana wenyewe kwa wenyewe kunavunja umoja wa kitaifa, kunaua uzalendo na kuzalisha uasi.
Usalama wa taifa na vyombo vyote vya dola mnaowajibu wa kulinda maisha ya watu wote nchini kwa HAKI.
Tabia ya kupigana na kuoneana ni tabia hatarishi kwa ustawi wa nchi yetu.
Kila mtanzania apewe...
Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini
Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti
=======
CHADEMA Tanzania imetangaza kugharamia Matibabu ya Majeruhi wote, hata ikibidi kuwapeleka Nje ya Nchi
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC),Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kuwa wamesikitishwa na tukio la kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA leo Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Kisutu kushiriki usikilizaji wa kesi ya Mwenyekiti wao Tundu Antiphas...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi...
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
Anachotetea Tundu Lissu kina umuhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Uongozi ni kitu kinachofanyika kwa referal na sheria za nchi zinafanyika kwa referal. Magufuli ndiyo Rais wa kwanza Tanzania aliyetumia nguvu zake kwa asilimia 100%. Tulishuhudia alijenga Airport alikozaliwa. Alijaza watu wa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameiomba Serikali kutupia jicho suala la upungufu wa Walimu Mashuleni na ongezeko la mishahara kwa Walimu ili kuongeza...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
Kesi hiyo imeahirishwa kwa muda wa dakika 10 kutokana na mtandao kusumbua na kutokusikika vizuri.
Hatua hiyo inatokana na...
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe tarehe 23 Aprili, 2025 amefanya ziara Kata ya Kumwambu amekabidhi Saruji mifuko 50 Shule ya Msingi Kwizera ili kukamilisha nyumba ya mwalimu
Pia, Mbunge Dkt. Florence Samizi ametoa Mabati 79 kwa ajili ya Ujenzi wa Kivuli cha...
Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu...
Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
Wakuu,
Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025.
Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
Kiongozi wa kiroho na Mratibu wa Tanzania Peace Foundation (TPF) Kanda za Juu Kusini, Joshua Msigwa ameshangazwa na matamko yaliyotolewa hivi karibuni na baadhi ya Viongozi wa Dini kutaka kuachiliwa huru kwa mmoja wa Mahabusu ambaye ni Kiongozi wa Chama cha Siasa.
Ameongeza kuwa, Serikali ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.