kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Walid: Viongozi wa dini tuwaache wenye siasa wafanye siasa

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa. Sheikh Walid...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Amani ni lazima sasa kuna wanaosema haki, na sisi tunasema ndani ya amani kuna haki

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa Dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, kikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Chamazi, maandalizi yote yamekamilika

    Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko ======== Hali ndio kama mnavyoona, kama Chamazi wamekubali wewe unabisha ili iweje?
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume yaanza kukutana na wadau katika majimbo yalioomba kugawanywa

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambacho kililenga kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche awataka Polisi wasifanye fujo, awaita Watanzania kufuatilia kesi ya Tundu Lissu ambayo hukumu ni Kunyongwa hadi Kufa

    Wakuu! Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. https://www.youtube.com/live/uw_9B8sK8n8?si=O332MRt1WyWCHk4D "Jambo la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere kupitia taasisi ya Mama ongea na mwanao wametoa msaada wa 'Kiti cha mama'

    Hii kila kitu kuwa cha mama, kuitwa cha mama na kukihusianisha na mama imekuwa kero sasa, ukipita barabarani magari yameandikwa SSH 2025 kuta zimechorwa chata hiyo hiyo nk. Sasa hatimaye wamekuja na 'kiti cha mama' kwa ajili ya kuwasaidia walemavu na wameviweka na picha ya Rais Samia, hii ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli za Kisiasa Makanisani na Misikitini zazidi kuzua mjadala kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025. Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Wanavyuo tunaposema tunamuhitaji Rais Samia arudi madarakani tuna hoja za msingi

    Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio. === Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masanja Kadogosa: Umoja wetu utawezesha uchaguzi waamani na utulivu

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri mema ikiwamo kuimarisha muungano na umoja kama Taifa. Kadogosa ameyasema hayo Aprili 21, 2025 jijini Mwanza alipokuwa mgeni rasmi katika ibada ya Pasaka na maombi maalumu ya...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

    Anaandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kupitia ukurasa wake wa X "Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche kuzungumza na wanahabari kesho

    Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie. === Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza "Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano

    Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano Soma: Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu John Heche akamatwa na...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yakana kuwashikilia Heche na wenzake! Wasema walikuwa wanazuia fujo kutokana na kutokuwepo uwanja wa mkutano

    Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!. Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??. Au CCM ikiwa na...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Nchimbi amezungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea Musoma Jumanne - tarehe 22 Aprili 2025. Balozi Nchimbi leo ameanza ziara ya siku tano katika maeneo mbalimbali ya wilaya za Mkoa wa Mara.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

    Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri. Pia, Soma: Sheikh...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Oliver Semuguruka atoa majiko ya Gesi kwa Wanawake Wajane, Bukoba

    Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba. Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuna kila sababu ya kuilinda Kariakoo dhidi ya shughuli zozote za kisiasa!

    Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!, Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa amshukia Gambo "Tuhuma zake ni za Uongo"

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

    Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi. Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana. Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha...
  20. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 uchaguzi, Sintopoteza mda kupanga foleni kupiga kura bila kwenye mazingira haya ya uiz wa kura unaofabywa na tume na ccm

    Habari ndo hiyo. Kwenye uchaguz serikali za mitaa nilienda nipogekura nikaahirisha baada ya kuona mgombea mlengwa ameenguliwa eti hajui kujaza form. Strangely huyo ni mgombea aliyekua mwenyekiti wakati wa rais kikwete
Back
Top Bottom