Wananchi Wenzangu wa Tanzania,
Hebu tuchukue muda kuangalia hali ya dada yetu Hilda Newton na mtoto wake mdogo hapa nchini Tanzania! Hilda, mwanaharakati, na mwanachama wa CHADEMA, alikamatwa kiholela ndani ya mahakama kwa kosa la kushiriki taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kesi ya...
Naam zingatia mada tajwa hapo juu,
Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Sisi wataalamu wa hizi kazi tunafahamu kwamba, ili chama cha siasa kiweze kuendelea na kibaki kuongoza dola ni jambo moja tu itabidi lifanyike, nalo ni huduma za kijamii ambazo serikali itakuwa...
Habari ya kazi Your Excellency,
Ni mimi tena ndugu yako katika kujenga taifa hili. Mimi Yusufu Sabura.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Kwa niaba ya wanaotumia mawasiliano ya Barabara ya kilwa road, ama kwa umaarufu route ya mabagala-kisemvule, ninayo hamu ya kufikisha ujumbe huu hapo...
Mwenyekiti mstaafu wa vijana wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt. Seif Hassan Sule amekosoa mwenendo wa viongozi wa dini kutoa kauli alizodai kuwa zinaingilia mamlaka za serikali.
Soma Pia: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kuna watu wengi wametia nia ya kugombea nafasi mbalimbali.
Wapo walioanza harakati za kuwashawishi wajumbe kwa kutumia njia mbalimbali hasa fedha ili majina yao yapitishwe. Wapo pia wanaochangia miradi ya jamii katika majimbo wanayotarajia kugombea.
Wengine...
Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya...
Wakuu,
Kampeni za mbogamboga dhidi ya Lissu zinaendelea kupamba moto.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akiwa anazungumza hivi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai...
Leo wala sitoi salamu hata kidogo ,hata kama sio wazima maana huko DSM watu wengi hawako na afya kabisa
Nataka leo nijikite kutoa USHAURI kwa polisi wetu ,nakiri kwamba mnafanya kazi nzuri ya ulizi na usalama ndio maana nchi yetu tunaweza kutembea usiku na mchana bila kusikia hata hatari yoyote...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni majadiliano, hoja na maelewano kwa lengo la kuimarisha umoja na ushirikiano katika kujenga taifa.
Amesema demokrasia sio vurugu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa hususan wa vyama vya upinzani...
Tanzania tunadanganywa mchana kweupe! Serikali hii ni ya utapeli, rushwa na unafiki wa hali ya juu. Wananchi wanauawa, wanateswa, wananyang’anywa haki zao, na bado tunatakiwa kunyamaza? Hell no!
Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakilengwa moja kwa moja:
2017, Daniel John wa CHADEMA alitekwa na...
Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.
Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia...
KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI
Dar es Salaam, 24, Aprili 2025
Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Hii serikali ya Tanzania imekuwa ikituzarau! Tume ya Uchaguzi ni chombo kinachopaswa kuwa huru kabisa—lakini leo hii, ni kama idara ya chama tawala! Tunawauliza:
1. Kwa nini Rais, ambaye ni mshiriki wa uchaguzi, awe na mamlaka ya kuteua Mwenyekiti wa Tume? Huu siyo mgongano wa maslahi?
2. Kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.
Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...
Serikali imesema kuwa iko kwenye hatua za Mwisho za Tathimini juu ya kiwanda cha Chai Lupembe kinachopaswa kurejeshwa Mikononi mwa Wananchi ambapo imeelezwa kuwa baada ya Tathimini hiyo ya kina kukamilika kiwanda kitarejeshwa kwa Wananchi na hakutakuwa na Mgororo wowote huku ikielezwa kuwa...
Kwa miaka mingi sana hiki chama kimevuna na kukandamiza mno vyama vingine vya siasa, Kimenufaika kwa unyonge na udhaifu wa vyama vingine vya upinzani. Unyonge na umasikini wa vyama vingi vya upinzani vimewafanya watumike katika kuinyanyua CCM na kukandamiza demokrasia ya kweli.
Hakuna maendeleo...
INEC imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu
Mkurugenzi wa INEC Tanzania Bw. Ramadhani Kailima
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu ya mpiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.