kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwanaidi Khamis: Wazazi wasiotunza watoto faini milioni 5

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mwanaidi Khamis amesema Serikali inaendelea kuelimisha jamii kuhusu sheria za ulinzi wa mtoto ambapo wazazi wasiolea na kutunza watoto adhabu ni faini isiyozidi shilingi milioni tano au kifungo miezi sita au vyote kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Maganga: Bora niwe Chawa kwa Rais ili Wananchi wapone

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga, amesema yuko tayari kuwa "chawa kwa Rais" ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu za afya, elimu, maji na barabara. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Nanda kwenye mkutano wa hadhara, ambapo amekiri kuwa eneo...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA Hilda Newton: Polisi wamezuia mkutano wetu Kariakoo, wamesema ni maelekezo kutoka juu

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo. Kwa mujibu wa Hilda, sababu iliyotajwa ni kwamba kuna maelekezo kutoka juu ya kuzuia mkutano na ameongeza kuwa msimamo wa chama...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania John Mrema pamoja na kujua CHADEMA ilihujumiwa kwenye Chaguzi zilizopita lakini bado anataka kushiriki. Ni njaa au ni nini?

    Huyo ndio John Mrema, ambaye anakiri kabisaaa Uhuni wa Uchaguzi kuanzia 2019, ila hapohapo anakuambia tuingie uchaguzin. Anajaribu kutumia Hoja Murua za Viongozi Dini kuunga mkono MABADILIKO YA UCHAGUZI Kisha UCHAGUZI , anaibeba Hoja hiyo, anaibadilisha iwe yake na wapuuzi wenzie ...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aida Kenan amchana Mchengerwa, adai Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yalifanyika mambo ya ovyo na umeacha maumivu kwa Wananchi

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani alisimama Bungeni na kumchana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akidai kuwa katika Uchaguzi wa Serika Kali za Mitaa yalifanyika mambo ya hovyo kuanzia mchakato wa kuwaengua Wagombea na yote yaliyotokea bado yameacha maumivu kwa Wananchi. "Mheshimiwa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Watia nia na waliounga mkono G55 wanatishiwa na maelekezo yamepelekwa ngazi ya chini kuwa wafukuzwe

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe: "Kuna utamaduni mpya umeanza kuonekana ndani ya CHADEMA siku za hivi karibuni, moja ni kuhusu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Annatropia Theonest: Reforms ni sehemu ya 4R za Rais Samia, ahoji kukamatwa Lissu kisa kudai mabadiliko

    Mbunge wa Viti Maalumu Chadema na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Annatropia Theonest ahoji watu kuhitaji 'Reforms' ni kosa baada ya Mwenyekiti wa Chama hichoTaifa, Tundu Lissu kuweka ndani.
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kama leo huna dola unawaza kufukuza watu wenye mawazo mbadala ndani ya chama, siku ukipewa dola itakuwaje?

    Akizungumza leo kwenye mkutano wake na vyombo vya habari, John Mrema amesema: "Leo kama ukikosolewa ndani ya chama unawaza kufukuza wanachama wako, tena watiania wabunge waliofanya chama hiki kinapata ruzuku kisa wanatoa maoni na mawazo mbadala hivi ukipewa dola utasikiliza wapinzani wako...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega atoa siku 30 kwa Mkandarasi barabara ya Nsalaga-Ifisi kuwekwa Lami

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo ili uweze kukamilika na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo...
  11. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

    Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo. Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Samizi atoa bati 30 kwa Wajasiriamali na mifuko 30 ya saruji ujenzi zahanati Nyange

    Atoa Bati 30 kwa Wajasiriamali na mifuko 30 ya saruji ujenzi zahanati Nyange 🗒️JUMATATU 21 APRIL 2025. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mhe. Dkt. Florence George Samizi, katika ziara yake leo Kata ya Mabamba ya kuwashukuru Viongozi wa CCM Kata, Tawi na Mashina kwa kushiriki vyema uchaguzi wa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Balozi Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii Kazi na Utu , Tunasonga Mbele
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Butiku: Hata Rais Samia anajua umuhimu wa Reforms kabla ya uchaguzi. "Kwa hali ya sasa kuna rushwa, wizi, haki haipo!"

    Haya ni maneno ya Mzee Butiku: Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini? Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu? Ya nini kuitisha chaguzi viini macho? Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kupata kura ziro kwenye uchaguzi ni uamuzi wa kidemokrasia wa wananchi na sio kuibiwa kura kama inavyopotoshwa na wanaokataliwa

    Mgombea wa chama chochote cha siasa kuchaguliwa na mpiga kura hua ni hiyari, uhuru na haki ya mwananchi mpiga kura. Mgombea wa cha siasa kukataliwa na wananchi kwa kuambulia kura zero, sio kuibiwa kura ila ndiyo hali halisi ya mgombea husika mbele ya wapiga kura. Ni muhimu sana kwa wagombea...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Joseph Butiku: Busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameshauri busara itumike katika kutafsiri sheria zinazohusiana na uchaguzi, ili kuondoa misuguano isiyo ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Tanga: CHADEMA amueni kushiriki Uchaguzi au la, si kuchochea vurugu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia. Mwenyekiti wa vijana amewasihi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Iringa Vijijini Afanya Ziara ya Kuimarisha Umoja

    Mwenyekiti wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Ndugu Ibrahim Musiba, leo tarehe 21 April 2025 amefanya ziara maalum katika Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa , ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha mahusiano na mshikamano miongoni mwa chipukizi wa chama, pamoja...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Butiku: Naunga mkono mazungumzo ya Reforms. Kuna rushwa, kuiba kura na Polisi kutumika vibaya

    Dakika 45 leo! Mzee Butiku aunga mkono Reforms na kusema wazi kuna wizi wa kura, rushwa, kufuta wagombea wengine ( ambao hapa ni wa upinzani) na Polisi kupewa maelekezo yaliyo kinyume na Sheria. Mungu wetu ni Mkuu sana. Sasa kunaanza kukucha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Back
Top Bottom