kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hilda Newton, Aachiwa Kwa Dhamana usiku huu

    Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam). Soma Pia: CHADEMA yalitaka jeshi la polisi lieleze ni sababu zipi zinafanya mpaka sasa Hilda Newton aendelee...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi: Kutokuwepo kwa amani kunaharibu ndoto ya maendeleo

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Watanzania kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na kuendelea kudumisha amani, akieleza kuwa kutokuwepo kwa amani kunaharibu ndoto ya maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki

    "Ndugu wananchi mwaka wa sitini na moja wa muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, wabunge wa bunge la Jamhuri ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  5. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Unabii huu utatimia?

    Anadai unabii wake unaamwambia tutaingia kwenye uchaguzi na tume tofauti na ile ya zamani, na Rais Samia hajachanguliwa na Mungu kuendelea kuongoza hii nchi lakini atalazimisha maana wapambe wanampush. Matokeo yake Mungu hatopenda, atamfanya kuwa binti (atamtoa kwenye umri wa uzee)
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo unaochochea chuki dhidi ya wapinzani

    BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea chuki dhidi ya vyama vya upinzani, akiagiza usitumiwe na wanaCCM popote, kwani wao wanapaswa kuwa mfano...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA walioteswa kisha kurekodiwa, video hizo ni kwa ajili ya nini?

    Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa na kurekodiwa Izo picha na video ni kwaajili ya nini?
  8. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani Afrika wanavyopambana na kesi mahakamani

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata wengine kutupwa jela. Kesi ya Lissu imekuja wakati akiongoza kampeni ya No Reforms No Election (Hakuna...
  9. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matumizi ya nguvu hufanikiwa kudhibiti wezi na vibaka ila hayawezi kudhibiti mawazo, hata ungewapiga vipi watu watabaki na mawazo yao! Wasikilize!

    Tuna mifano mingi duniani inaonyesha kwamba njia rahisi sana na ya kudumu yenye afya pia ni njia ya kukaa chini na kuzungumza. Tuna mifano mingi sana ambayo inaonyesha matumizi ya nguvu licha ya kuacha maumivu na makovu na majeraha kwa pande zote ila hayazimi mawazo yanayopiganiwa. Pia soma...
  10. winnerian

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tulirogwa? Tafakuri ya hatma yetu kama Taifa

    TANGANYIKA TULILOGWA? TAFAKURI YA HATIMA YETU KAMA TAIFA Kuna maswali yanayozidi kuzua masikitiko na uchungu mioyoni mwa Watanzania wengi. Ni kana kwamba tunaishi kwenye ardhi iliyolaaniwa au tulilogwa, maana hali ya taifa letu haieleweki. Tunadharaulika sana – tena si na mataifa ya mbali, bali...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Wanawake mchague Rais Samia, amewapigania kimatendo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Serengeti: Tuliambiwa omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukaanza kupigwa kipigo cha Mbwa koko, kama vile hawapigi binadamu

    "Tulipofika kwenye vichaka wakamshusha dada Pendo wakaanza kumpiga, kuna askari mmoja alikuwa na nyota kama mbili akaanza kumpiga Pendo kama anaua nyoka na wengine wote tukaambiwa shuka kwenye gari vua viatu ficha uso, na kama unaweza kuomba Mungu omba Mungu, jikabidhi kwa Mungu, tukavua viatu...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Job Ndugai : CCM Itapata Ushindi wa Clean Sheet uchaguzi 2025

    My Take Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai. === Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema Jimbo hilo kupata ushindi wa 'Cleen Sheet' kila chaguzi zinazofanyika ikiwemo 2020 ni sababu ya eneo hilo kuwa kitovu na ngome ya demokrasia kwa CCM katika mkoa huo. Ndugai ambaye ni Spika Mstaafu wa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Chegge, AY na Madee (Samia Kings) watinga bungeni

    Wakuu. Yaani siku hizi bungeni kila mtu anaenda. We sifia tu kesho, unalipiwa flight unaenda kikao.
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo katikati ya uti wa mgongo, unyama uliopitiliza

    "Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye katikati ya uti wa mgongo marungu yanapigwa, ilikuwa ni kitendo cha unyama uliopitiliza." Kupata...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Msitu wa Mabwepande alipotupwa Ali Kibao ndipo walipotupwa majeruhi 21 waliokamatwa na polisi

    "Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio msitu ambao baadhi ya watu ambao tunawafahamu waliuawa na wakatupwa katika msitu huo akiwemo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaishauri mamlaka kuwa baada ya uchaguzi mkuu katiba mpya iandikwe upya na tume huru ya uchaguzi iundwe upya

    Kwa sasa Uchaguzi Mkuu umekaribia na bado miezi kama sita tu ambapo hakuna namna yeyote mabadiliko yanaweza kufanyika. Hivyo naomba Mamlaka kufanya yafuatayo mara tu baada ya Uchaguzi mkuu Oktoba, 2025. (1) Mamlaka ichukue jukumu la haraka kuandika Katiba Mpya ambayo imepigiwa kelele sana na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Anaandika Mtumishi waMungu: UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini simamieni haki na amani kwa pamoja bila kuvitenganisha nchini

    Kwa hali tuliyomo kisiasa kama nchi suala la Haki na Umoja lazima lisemwe kwa pamoja. Wananchi tumegundua kuna kundi la viongozi wa dini wapigania HAKI kama kipaumbele na kuna kundi lina pigia chapuo AMANI kwanza kwa kuipata kwa hali yoyote ile, kuna kundi la kati linazungumzia UTULIVU zaidi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rose Mayemba: Hilda Newton yuko Central Polisi amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao

    Imethibitika sasa Hilda Newton yuko Central Polisi, msamalia mwema aliyemuona muda mchache uliopita anasema amepigwa sana na wanataka kumshtaki kwa Makosa ya Mtandao. Soma Pia: Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana
Back
Top Bottom