PreGE2025 Wasira: Wanawake mchague Rais Samia, amewapigania kimatendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,067
Reaction score
7,036
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma, Wasira alisema kuwa Rais Samia ameonesha dhamira ya kweli katika kuwahudumia Watanzania, hasa wanawake, kupitia maboresho makubwa katika sekta ya afya, elimu, na ustawi wa jamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mama Samia amewapigania wanawake kimatendo, ameimarisha huduma za afya, hasa kwa mama na mtoto, ametengeneza mazingira salama ya kujifungua, na ametoa nafasi nyingi za uongozi kwa wanawake, hakuna sababu ya mwanamke kusita kumpigia kura", alisema Wasira kwa msisitizo.

Alieleza kuwa wanawake wamekuwa nguzo ya Taifa na ni wakati wao sasa kutumia sauti yao ipasavyo kwa kuchagua kiongozi aliyedhihirisha kwa vitendo kuwa anawajali.

Chanzo: Jambotv

Screenshot 2025-04-25 151507.png
Screenshot 2025-04-25 151522.png
 
View attachment 3315195View attachment 3315196
We already know the drill—Wakimpigia ameshinda; wasipompigia ameshinda! CCM wasipoteze hela kwenda huku na kule ilhali tayari wameshaamua mshindi ni nani. Waipeleke hiyo hela kwenye health centers ikatatue shida za maana!
 
We already know the drill—Wakimpigia ameshinda; wasipompigia ameshinda! CCM wasipoteze hela kwenda huku na kule ilhali tayari wameshaamua mshindi ni nani. Waipeleke hiyo hela kwenye health centers ikatatua shida za maana!
100%
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma, Wasira alisema kuwa Rais Samia ameonesha dhamira ya kweli katika kuwahudumia Watanzania, hasa wanawake, kupitia maboresho makubwa katika sekta ya afya, elimu, na ustawi wa jamii.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Mama Samia amewapigania wanawake kimatendo, ameimarisha huduma za afya, hasa kwa mama na mtoto, ametengeneza mazingira salama ya kujifungua, na ametoa nafasi nyingi za uongozi kwa wanawake, hakuna sababu ya mwanamke kusita kumpigia kura", alisema Wasira kwa msisitizo.

Alieleza kuwa wanawake wamekuwa nguzo ya Taifa na ni wakati wao sasa kutumia sauti yao ipasavyo kwa kuchagua kiongozi aliyedhihirisha kwa vitendo kuwa anawajali.

Chanzo: Jambotv

View attachment 3315195View attachment 3315196
💪👊🔥
 
Attachments

  • IMG_20230308_125209.jpg
    IMG_20230308_125209.jpg
    399.3 KB · Views: 27
Back
Top Bottom