Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara Chacha Heche
ameeleza masikitiko yake kufuatia hatua ya Jeshi la Polisi
Kanda maalum ya Dar es Salaam kuwazuia wafuasi wa chama hicho na wananchi kwa ujumla kuhudhuria kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu...
Wakuu,
Hivi mnapitia kama nnachopitia mimi? Kwasababu natumia sana Telegram naazimika kutumia VPN ili mambo yaende baada ya kupigwa pini na wajomba.
Sasa kazi inaanza ukiwasha VPN unaweza kupata telegram lakini mitandao mingine inakata, ila usiku ukiingia mara nyingine (sio mara zote) Telegram...
Msaniii wa Muziki wa Bongo Fleva Madee amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiheshimisha sanaa ya muziki hali inayopelekea kupewa hadhi ya viwango inayostahili.
Madee amezungumza hayo baada kutoa burudani yenye viwango vya kitamtaifa katika...
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, DCP Ulrich Matei amezitaka kampuni binafsi za ulinzi nchini kushirikiana na vyombo vya usalama kuimarisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba!
Sasa kwenye video hii inaonyesha kundi la baadhi ya wananchi ambao kwa asilimia kubwa ni vijana wakiimba wakisema bora corona...
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani ametoa wito kwa vijana kuendelea kuyasema mema na mazuri yanayofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan bila uoga kwani kazi aliyoifanya kwenye nchi yetu kwa miaka minne ni ya mfano na hakuna sababu...
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, amewataka wananchi wa Buchosa kuendelea kumuunga mkono Dk. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine walioko madarakani ili waendelee kuwaletea maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa katika Kata ya Kalebezo, kwenye mkutano wa hadhara uliotishwa na Mbunge...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Said Nguya amewaasa vijana kuendelea kuilinda kwa wivu mkubwa amani iliyopo na kuwapuuza wale wote wanaotaka kuiyumbisha amani tuliyonayo kwa maslahi yao binafsi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Mfumo wa kiuchaguzi wa sasa hauwezi kuzingatia kura ya mtu, kama mabadiliko yatafanyika nendeni mkapige kura kwa wingi, lakini kama hakuna mabadiliko yoyote msiende waachieni wajipigie kura wenyewe acha vituo vya kupiga kura wazi.
Kilicho hamasishwa ni mabadiliko sio vurugu kama hakuna...
Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la...
Mbowe amekijenga chama miaka 20 kikiwa na umoja na mshikamano hadi anakabidhi kijiti alicho king"ang'ania Lissu. Mtoto akililie wembe mpe! baada ya siku chache tu Chadema imegawanyika vipande, G55 na timu Lisu.
Umoja na mshikamano alio ujenga mbowe kwa zaidi ya miaka 20 umevurugwa na Lisu ndani...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha.
Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la...
Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo sasa kuna mkwamo mkubwa sana wa kidemokrasia ambao mwenye nyenzo muhimu kuutanzua ama kuuacha uendelee kukua ni mheshimiwa Rais.
Naita mkwamo kwa sababu tofauti na chaguzi kadhaaa za miaka kabla ya 2019,2020 na hata 2024 walau wananchi walikuwa wakichagua...
📍NIRC:Nzega, Tabora.
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi awamu ya tatu ya utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Skimu ya Idudumo, wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 36, kwa Mkandarasi Kampuni ya Mkwawa Logistics and Construction Limited.
Mradi wa Idudumo unalenga kuongeza eneo...
ADO SHAIBU AJITOSA UBUNGE TUNDURU KASKAZINI
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo hilo Ndugu Noel Chilemba katika Ofisi ya Jimbo...
Na Mwandishi Wetu,
Namtumbo: Njama zilizokuwa zimepangwa na mmoja wa watia nia wa ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma kuzuia makabidhiano ya gari jipya la wagonjwa (ambulance), zimekwama.
Taarifa zinadai kwamba mtia nia huyo, Juma Zuberi Homera, aliwaandaa vijana kadhaa ili wafanye fujo...
Nasikia tu 4R tena inatajwa kweli. Hili dubwasha ni kitu gani? Au jina la katiba limebadilishwa na kuwa 4R?
Nasikia tu Rais anasema nitaendesha nchi kwa misingi ya 4R? Ni nini hiki? Kinafundishwa wapi? Kina mamlaka gani? Kina mfumo upi kisheria? Labda mimi sipo Tanzania. Nyie wenzangu huyu 4R...
Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli?
Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi?
Waliotukataa ni Chadema au ni Wananchi?
Chadema ni nani Hawa? Wako wangapi? Mbona takwimu zetu mara zote huonesha ni wachache wasio na madhara?
Mbona hawana Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.