kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT imekataa na kuamua kuwakabili vilivyo. Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mtina, kata ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama

    Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani kwa mtu bila amri ya Mahakama na bila ya mmiliki wa nyumba kuwepo? Au mnataka kumuwekea vitu vyenu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Siasa Kuongoza Chama na Serikali: Hatari na Mabadiliko Yanayohitajika kuelekea 2030

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea. Muundo wa chama na muundo wa serikali unapaswa kuwa tofauti ili kuhakikisha kwamba kila moja inafanya kazi kwa ufanisi bila...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais na watawala wezanko kutoka CCM, sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu

    NIMEAMBIWA na mizimu ya kwetu kyaibumba niwambie yakuwa viongozi wa Dini hawaongei wakiwa KWENYE MILANGO ya Gest house Bali wanaongea wakiwa KWENYE Madhabau ambayo hata wao watawala hawawezi Ikanyaga Madhabau bila ruhusa ya viongozi wa Dini. Mh Rais na watawala WENZAKO kutoka chama Cha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2020 Rais Samia ndio alifanya kampeni za Urais na CCM ikapata Ushindi wa 84% Chawa wasijifanye bila wao hakuna Ushindi!

    Tunakumbushana tu kabla ya kwenda kulala Rais Samia atashinda bila msaada wa Chawa yoyote Mlale unono 😁🇹🇿
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM wakitaka wabaki madarakani wazingatie yafuatayo

    Mpka sasa hivi CCM wakitaka wabaki madarakani wazingatie yafuatayo. 1. Waufute mfumo wa kutumia CHAWA kwasababu wamekinaiwa na wananchi na hawapendwi tena kwahiyo hawana ushawishi no more. 2. Katika kura za maoni wawapitishe wagombea ambao ni wapya madarakani wasiwe wale ambao wameshahudumu...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tutakapo mchukua Lissu tukamshindanisha na amna kitu lissu atamshinda huyu amna kitu kwa kishindo

    Tutakapo mchukua Lissu tukamshindanisha na amna kitu Lissu atamshinda huyu amna kitu kwa kishindo. Lakinj Tutakapo mchukua Samia tukamshindanisha na amnakitu, huyu amnakitu atashinda uraisi kwahiyo ili Samia amshinde Lissu lazima amshinde kwanza huyu amnakitu. Ninaimani na Lissu, anao uwezo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    25 Aprili 2025 https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8 Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea. CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Charles Kitima: Haki za kisiasa lazima ziheshimiwe Tanzania

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Charles Kitima anasema viongozi wa dini wanathamini uchaguzi na wanachotaka haki za kisiasa za Watanzania ziheshimiwe. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

    Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake. Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania ============= “Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi...
  12. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi wa kura; tathmini yangu ya ibara ya 8 ya katiba yetu

    Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, kumekuwa na mijadala mingi, mkubwa katika hiyo ni vuguvugu la "No reform, no election" lililoasisiwa na CHADEMA. Yapo madai mengi yaliyotolewa na CHADEMA katika vuguvugu lao hili, miongoni mwao likiwa ni hili la wizi wa kura. Mjadala wa uwepo au kutokuwepo kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira ni Mlezi wa vyama vyote vya Siasa nchini ameshiriki Siasa za Chama tawala na Upinzani, aeneze Upendo!

    Mzee Wassira ndiye Mwenye historia ndefu sana ya kisiasa nchini kuanzia Bifu lake na mzee Warioba Enzi za Nyerere hadi Bifu lake na Esther Bulaya enzi za Kikwete na Mbowe Itoshe kusema Taifa linamtegemea sana Mzee Wassira kuwafundisha Vijana siasa za Upendo wakati huu wa magharibi Ahsanteni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: Nitavitaja vyama vinavyofadhili vijana kufanya vurugu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama 12 vya siasa Songea vyasema vitashiriki uchaguzi mkuu 2025

    Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reforms No Election", wakisema kauli hiyo haiwakilishi msimamo wa vyama vyote na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Adui wa Muungano ni adui wa Taifa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa tarehe 26 Aprili 1964, wazee wetu walichanganya udongo kama ishara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hatua iliyozaliwa taifa moja la Tanzania. Ameongeza kuwa vizazi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Simamieni maslahi ya vijana siyo kupiga makofi tu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, huku akiwakumbusha kwamba kazi waliyochaguliwa kuifanya ni kuwasimamia vijana ndani na nje ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabudi: Mwaka 2026 Serikali itajenga Arena kubwa hapa Tanganyika Packers

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya wasanii wa muziki na filamu. Pofesa Kabudi ametoa kauli katika tamasha la Samia Serengeti Festival...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Tulia: Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia

    Dkt Tulia Ackson Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia ambaye anataka kutujengea kawe yetu ibadilike. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
Back
Top Bottom