kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Kama Tembo ndio wana thamani, Serikali ya Samia ikapigiwe Kura na Tembo porini. Isituone sisi ni mabongolala

    Wakuu! Mwananchi mmoja kutoka mji mdogo wa Lamadi, wilayani Busega, huko Simiyu amevuta hisia kuhusu tofauti kubwa ya thamani inayowekwa kati ya maisha ya binadamu na wanyamapori, hususan Tembo. Masalu Ndunga anadai kuwa mwananchi akiuawa na Tembo, Serikali hutoa pole ya Tsh 50,000/- pekee...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema 'Lema matatani kwa kupanga njama za kumuua Mrema'

  3. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata kitambulisho cha kupiga Kura?

    Wakati wanaandikisha kwenye eneo langu bahati mbaya nilikuwa nimesafiri Natamani kupiga Kura Je kuna utaratibu gani WA kunisaidia Naomba wataalamu mnisaidie
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wanachama Katavi wahama CHADEMA, waisomea dua ya maiti!

    Maelfu ya wanachama wa Katavi wahama CHADEMA waisomea CHADEMA dua ya kiislamu ya Maiti CHADEMA Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Bunge ni la kila mtu waliosoma na wasiosoma

    Kigezo cha elimu ya mbunge umekuwa ni mjadala ambao umekuwa ukijirudia mara kwa mara Hamisi Taletale Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ameeleza unamtazama mtu kama Msukumua IQ aliyonayo akuipatia darasani mawazo na mchango anaochanga kuishauri serikali ambapo kuna watu wa PhD lakini awawezi...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Biharamulo, serikali imejenga shule mpya ya kisasa sekondari, NYAKANAZI

    UJENZI WA SHULE MPYA YA KISASA YA SEKONDARI - NYAKANAZI.* Juhudi za mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa zinaonekana hapa katani nyakanazi, ujenzi wa shule mpya na ya kisasa ya sekondari umekamilika na sasa wanafunzi wanaweza kufika hapa na kusoma na kupunguza mkwamo wa kwenda umbali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Viongozi wa Chadema waliojiondoa kwenye chama nafasi zao kuzibwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election". Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwakajoka: Tuhuma za waliohama CHADEMA hazina Msingi, walishiriki mageuzi wakiwa ndani ya Chama

    Katika kipindi ambacho baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekuwa wakitangaza kuhama na kujiunga na vyama vingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frank Mwakajoka, ameeleza kuwa hatua hiyo inaonyesha kushindwa kwao kuvumilia misimamo ya chama...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwananchi amkalia kooni diwani, mwaka huu hatukutaki tena

    Moja ya mwananchi wa Somelo, Mkoa wa Ilala amembana Diwani kwa maswali magumu akitaka kufahamu yapi ameyafanya diwani huyo tangu alipoingia madarakani. Wakati muda huo hakuna kilichofanyika hadi sasa, Mwanachi huyo akamaliza kwa kumwambia diwani mwaka huu hatukutaki tena. Pia soma Kuelekea...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Swali: Inawezekana vipi kufanya uchaguzi Mkuu ukiliacha kundi kubwa linalojitokeza kuunga mkono no Reforms no Election nchi nzima?

    Salaam! Sasa naanza kupata picha ya kwanini nguvu kubwa ilitumika kuzuia CHADEMA kufanya mikutano yao kuwashawishi wananchi kuunga hoja ya no Reforms no Election, Siasa ni mchezo wa wazi majukwaani na mabarabarani, saaa umati mkubwa tuliouona wa watanzania kujitokeza kuunga mkono hoja ya No...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bariadi nayo yafikiwa na Neema ya No Reforms No Election

    Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi. Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiujumla wanaojitoa sasa Chadema ni wasaka madaraka, usishangae baada ya uchaguzi kwisha wakataka kurejea tena Chadema

    Njaa hainaga simile ukishaiendekeza. Lile kundi la G55 baada ya kugundua hakuna namna mpango wa 'nusu mkate' (kupewa bakishishi ya madaraka kupitia Chadema kwa fadhila za CCM) kuweza kutekelezwa chini ya uongozi wa Lissu, wakaona isiwe tabu maana msimu wa 'mvua' umefika, hivyo wakichelewa tu...
  13. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kinondoni: Ukimya wa Freeman Mbowe unatia shaka, ajitokeze hadharani kusema kama anawapa baraka G55

    WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao...
  14. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA inatakiwa kuonewa Huruma, matapeli wa Siasa huwa hawana huruma

    Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu, halafu ukamsikia huyo mwanamke akisema kuwa anakule da sana wewe, na kwamba yupo tayari kumwua...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji. ( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mpango: Hatutaki Uchaguzi wa vurugu, kuna mtu hajui anampigia Kura nani?

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisesa: Kijiji Kizima chahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Luhaga Mpina apigwa na Butwaa

    Hawa hapa ni Wakazi wa Kijiji Kimoja tu, kijiji cha Malwilo, Jimbo la Kisesa, wakazi hao wote wamekubaliana na hoja za Chadema, ambapo taarifa hizi zilipomfikia Mbunge wa Jimbo anayeitwa Luhaga Mpina, aliishia Kupigwa na Butwaa na kukata tamaa.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi: No Reforms No Election imetupelekea kuwajua wahuni wote waliokuwa madalali ndani ya chama

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria wanayoamini yatawezesha uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kuwa huru na haki.
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuburudike kidogo: Kwa hakika CCM hawana Furaha, CHADEMA ni wanyonge ila wana furaha

    Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
Back
Top Bottom