kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

    Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa. KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

    Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba CHADEMA sio TLP? CHADEMA sio CUF? CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI? Wanadhani na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliebuni mkakati wa kununua wanasiasa na wanachama wachache kuihujumu CHADEMA, atakuwa na faili Mrembe na atakuwa bado anaendelea na matibabu

    Mtu mwenye akili timamu, hawezi fanya hiki kinachoendelea kwa lengo eti la kuihujumu CHADEMA akiamini CHADEMA itakufa unless ni matokeo ya kuishiwa mbinu na kukata tamaa. Yaani uhonge wanasiasa na wanachama wa CHADEMA kwa makumi mikoani halafu uamini hiyo operation itafanikiwa kuidhoofisha...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushirika Unapaswa Kujibu Mahitaji ya Kijamii na Kiuchumi ya Wananchi - Mavunde

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma Mjini, Mhe. Anthony Mavunde, amewataka wanachama wa vyama vya ushirika katika Mkoa wa Dodoma kutumia muunganiko huo kujibu mahitaji ya wananchi ya kijamii na kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zilizopo. Mhe. Mavunde ametoa wito huo leo, Mei 16, 2025...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Utawala wa wakoloni ndio umetufikisha hapa

    Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru kuendelea kuwa na matatizo yanayojirudia kila siku, Scanning Officer maoni ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamis Shabani Taletale (Babu Tale) anadhani tunafeli wapi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Biharamulo na usimamizi bora wa ujenzi wa shule mpya jimboni

    UJENZI WA MRADI MKUBWA WA SHULE MPYA YA MSINGI KABINDI B ILIYOPO KATA YA KABINDI - BIHARAMULO. Shule hii ni mpya ,haikuwepo kabla hapa kuna juhudi za mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa, serkali ya awamu ya sita ya Mh rais Samia suluhu Hasan na wananchi wa kata ya kbindi . Ujenzi...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Huu hapa ni Mkutano wa No Reforms No Election Katika Kijiji cha Mwakitolyo, Jimbo la Solwa

    Kabla ya yote Baba Askofu Mwamakula akishirikiana na Mashehe wa Shinyanga(Siyo BAKWATA) akiomba Dua Kabambe ili kuondoa nuksi Baada ya Kumtanguliza Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi, kazi ya kufundisha Wananchi ikaanza Kwa Kauli moja wananchi wamekubaliana na Hoja zote za Chadema
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Sina la kusema kuhusu utekaji sababu hakuna aliyewahi kutekwa jimboni kwangu, ya sehemu nyingine hayanihusu

    Wakuu, Alooo hii kali🤣🤣🤣 kama utupu kichwani ungekua mtu basi angekuwa Babu Tale! Yanayomhusu ni ya jimboni kwake tu hayo mengine yanayotokea sehemu nyingine sio kazi yake, hayamhusu na hataki kuyasikia. Jamaa anasema kilichompeleka bungeni ji kudai hiyo barabara tu na mwaka huu Rais karidhia...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAZECHA: Tuliwaita kujieleza badala yake wakakimbia

    Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) limeeleza kuwa liliwaita viongozi na wananchama wote ambao walikua na manung’uniko katika chama kuja kujieleza ili kutafuta suluhu na badala yake hawakutokea na kuanza kujiengua “Mwenyekiti mstaafu alishawai kusema kwama kiundwe...
  11. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika aagiza mapengo wanaohama Chadema yazibwe haraka

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu G55. Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa chama hicho wanaopinga kampeni ya chama hicho...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAZECHA: Bahari inatema uchafu acha bahari iwe safi. Chama kiko imara kuliko wakati wowote ule

    Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema; BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Hakuna mwenye haki miliki ya kugombea ACT Wazalendo

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema watasimamia Demokrasia kwa vitendo katika mchakato mzima wa kuwapata wawakilishi wa nafasi mbalimbali watakaoenda kushindana na wanachama wa vyama vingine katika Uchaguzi mkuu ujao wa Rais Waubnge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nollo: Kuna Intaneti ya Mitandao ya Simu inasumbua kama kuni mbichi

    Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kwa nini Heche usitete na Mbowe kuna ubaya gani ukachota busara

    Mambo mengi yanaendelea kwenye chama chenu kama vile kuhama viongozi na wanachama, kukamatwa Tundu Lisu, kutekwa Mdude, kutenguliwa kamati nk je kuna ubaya gani ukienda kuonana na Mwenyekiti Mstaafu Mbowe ukiwa na baadhi ya wazee maarufu kuchota busara yake. Haitakupunguzia kitu chochote.
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roma awashauri wanaohama CHADEMA waanzishe vyama vipya na sio kuhamia vilivyopo kwa sababu walishawahi kuvikosoa

    "Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao. Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi kuvi-point madhaifu yao na kukiri havifai!! Badala yake kama wana interest bado na siasa, waanzishe...
  17. John Manoni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche anaeleweka: Refa asiwe na jezi ya timu moja kwenye uchaguzi

    Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri. Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics reforms) yanayotangazwa huko CCM hayafai na wa Tanzania wote wapaze sauti kuyakataa.. Hoja ya uchaguzi...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAZECHA: Rais Samia aeleze kwanini Watanzania wananyanyasika katika ardhi yao, aeleze hatua alizochukua kulinda haki

    BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari https://www.youtube.com/live/C8UctgnFAbg?si=i1BRJLq9o2CFiX0x Mwenyekiti BAZECHA - James Haule Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Uchaguzi hauwezi kusogezwa, CHADEMA jipangeni 2030

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha...
Back
Top Bottom