kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilbroad Slaa: Watu wanakufa na kupotea, utadhani Samia sio mwanamke anasema yeye ni chura kiziwi"

    Wakuu, Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa huenda Samia hana tumbo la uzazi maana watu wanatekwa na yeye yuko kimya akiwa anajiita chura kiziwi...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Busega Simon Lesengekile ataka Kariakoo Dabi ibadilishwe jina na kuitwa Samia Dabi

    Wakuu, Wale wapenzi wa soka la Tanzania, mna salamu zenu huku! Akiwa anazungumza bungeni leo, Mbunge wa Busega, Simon Lusengekile ametaka mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba maarufu kama Kariakoo Dabi iliyopangwa kupigwa Juni 15, mwaka huu katika Uwanja wa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde: Lazima Uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate

    Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma; "Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie 'No Election, No Reform'. Maana...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa TAPSEA: Huu ni mwaka wa kumrudisha mama ili tuendele kufanya mambo yetu. Nendeni mkajiandikishe!

    Wakuu, Hii sio kampeni kweli? Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi. Rais Samia akiwa anaongea na hao wana TAPSEA aliwahasa watumisi hao wakajiandikishe ili aweze kumrudisha...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Devotha Minja na baadhi ya G55 pamoja na wananchama wajivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, haya wacha tuone leo ni nani anajiahibisha leo na kuutangazia umma anaenda kuchukua 'chai' kwa CCM. ==== G55 Morogoro kuzungumza na waandishi wa habari kujiondoa CHADEMA https://www.youtube.com/live/Oniq6b-NIn4?si=yCSNQyRnUYtwXCfy Meza Kuu inajumuisha; Devotha Minja - ameanza kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Jacob: Hakuna mtu mgumu kumshahuri kama anayekaribia kutapeliwa

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa. "Waswahili wenzagu wanasema Hakuna mtu mgumu kumshauri kama anaye karibia kutapeliwa Remember this tweet..!" - Boniface Jacob Soma Pre GE2025 - DSM -...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Endapo chama hakitaki kushiriki uchaguzi Kuna ulazima gani wa kututangazia? Wamalizane ndani ya chama

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa suala la chama kutoshiriki Uchaguzi ni suala binafsi ndani ya Chama husika haipaswi kulazimisha umma kutoshiriki Uchaguzi. Ndumbaro amesema hayo mbele ya watendaji wa Serikali za Mitaa, Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Simiyu amwita Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bariadi kusoma bibilia, maandiko ya Utiifu wa Mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi alimwita mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Bariadi, Moga kusoma Maandiko yanayoelezea Utiifu wa Mamlaka katika Nchi Hayo yamefanyika Katika Kikao cha Kamati za Amani Viongozi wa Dini, Viongozi wa vyama vya Siasa,Viongozi wa Mila pamoja na Wananchi. Mkuu...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NETO ilikuwa project ya CCM kuizima 'No Reforms No Election'? Siku 45 zilizotolewa na Simbachawene zimeisha, kimya!

    Wakuu, Hawa watu bana mi niliona toka mwanzoni walikuwa project tu ya mtu kuwatoa raia kwenye reli wajadili mambo mengine na kuacha jambo pressing lililokuwa mbele yetu. Mei 13, 2025 viongozi na baadhi ya wanachama wa NETO walifanya press, wanakushukuru 4R za Samia na Simbachewene kuwapokea...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyie Vyama vingine Upinzani , Huu mwaka ni Wa kuwapa Tume huru, CCM hawakubaliki. unganeni

    Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine . Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru. Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Henry Kilewo: Viongozi wa sasa wa CHADEMA wanatumiwa na CCM kuhujumu harakati za mageuzi nchini

    Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini. "Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Haya maadhimisho ya TAPSEA ni kikao cha CCM? Kikao kimetawaliwa nyimbo za Samia tu

    Wakuu, Kuna huu mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association (TAPSEA) wa vitengo mbalimbali serikalini unaendelea muda huu na Makamu wa Rais Philip Mpango ndio mgeni rasmi lakini kuna kitu sijaelewa. Yaani mkutano mzima hawa wazungumzaji wanamsifia na kuimba nyimbo za kumsifu Rais...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Wawekezaji wa ndani wanalalamika kunyang’anywa kazi na wageni

    Mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Joelson Mpina (MB) akichangia bajeti ya wizara ya viwanda na biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo tarehe 14 mei 2025 bungeni Dodoma UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Wizara ya Viwanda na Biashara ndio kiungo kikuu cha Serikali na Sekta Binafsi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe: Nitagombea Urais hata mara 100

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amethibitisha kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Rungwe amesema hayo leo Mei 15, 2025, katika mahojiano na TBC1, ambapo alizungumza kuhusu mustakabali wa chama hicho kuelekea uchaguzi huo. "Kwa kuwa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suzan Kiwanga: Sisi tulisema No reforms No election kama kutishia tu hatukumaanisha, akosoa ajenda ya kugomea uchaguzi

    Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho. Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Majibu haya ya Babu Tale ni dhahiri kuwa hafai kuwa Mbunge, hawezi kutatua changamoto hata kwa hoja

    Mwandishi kampiga spana za kutosha ndugu Mbunge, ila mbunge amekuwa na majibu ya mtu wa kawaida sana na mengine kuashiria hajui mahitaji ya wananchi ni nini, yeye anataka kulinganisha Tanzania zidi ya Nchi Masikini zaidi kama Mali na Zambia. Na anasahahu kuwa Tanzania ipo kwenye Top 10 ya Nchi...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura. Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA(G-55) Vs CHADEMA 2025, nani ataaminiwa na Umma Zaidi?

    Habari wanabodi! Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA, wale wanao unga juhudi ambao ni viongozi wa either mkutano mkuu au Baraza kuu Taifa, wawe replaced faster, kuna move

    Kuna Move inachezwa hii ni zile move za Kikorea, Wanao jiondoa hasa wale wa Baraza kuu taifa au mkutano mkuu taifa lengo lake ni kutengeneza upungufu wa akidi, sasa sijajua kama wakina Mnyika au Heche walisha nyaka hilo. Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchinjita: Kura si karatasi tu—ni sauti, ni matumaini, ni hatima ya wananchi

    Mei 14, 2025, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amekutana na viongozi wa Ngome ya Wanawake wa kata 20 za Manispaa ya Lindi mkoani Lindi katika kikao kilicholenga kuhamasisha ulinzi wa kura na kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kikao...
Back
Top Bottom