Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...
Katika Bandika bandua inayoendelea chini ya Kiongozi Mahiei Mh John Heche ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa huko Kahama.
Zaidi ya Wananchi 5000 ktk mkutano mmoja wamekubali kwa kauli moja na kuitaka serikali ijali maoni na matakwa yao.
Wamesema wanaiomba mamlaka kusikiliza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo May 17, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino Mkoani Dodoma ambapo pia amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna...
Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya...
Najaribu kufikiria tu serikali haichukulii kiwepesi suala la MABEBERU si kama wanavyo tuaminisha kwamba sisi ni nchi huru!
Tatizo ni kwamba Hila nyingi hufanywa ili kuridhisha MABEBERU kwamba Demokrasia ipo safi jambo ambalo halisaidii nchi!
Kwanini CDM hawatakiwi kupatiwa kilicho haki yao hadi...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko.
Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu...
Chadema Kanda ya Kati wanazungumza muda huu mbele ya waandishi wa habari katika ofisi yao iliyopo Swaswa, Dodoma
https://www.youtube.com/live/9tpeXEUDWTA?si=VZLU3R33pExJHa5l
Dkt. Steven Karashan Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini.
"Sisi kama CHADEMA, Dodoma Mjini tuko imara kuliko...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Jumatano Mei 21, 2025.
Kikao hicho kimeitishwa kipindi ambacho chama hicho kinapitia misukosuko ikiwemo ya mwenyekiti wake, Tundu Lissu kuwa gerezani akikabiliwa na kesi mbili ya uhaini na ya...
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30.
"Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na...
Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
Wakuu,
Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu.
===
Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao...
Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania .
Taarifa za Uhakika ni kua, Rais wa Finland, ameitaka Serikali ya Tanzania
👉Kumuachia TUNDU LISSU bila...
Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.
Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.
Kazi ipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.