kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

    Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma. Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanayo endelea CHADEMA ni matokeo ya kutodhibiti nidhamu ya wanachama wake

    Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake. Ndani ya chama kila mtu...
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ataachiliwa kabla ya Uchaguzi Mkuu na Atagombea japo hatashinda

    Kutoka Huko Youtube leo naona Kuna unabii Mkubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba mwaka Huu. Nimekuta video ya Mtu wa Mungu Nabii Philbert akitabiri mambo mazito kweli kweli, Huyu mtu simjui ila nimepitia Huko youtube anatabiri mambo mengi sana. sasa Sijui kama ni...
  5. Kagemro

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Chato ya waonya makada wake wanaotumia majina ya viongozi wa kitaifa kusaka ubunge

    Very serious Accusation! Needs immediate Attention and Action!
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video, Musoma kwa kauli moja: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi

    Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa "No Reforms, No Elections." Kauli hii inamaanisha kwamba bila marekebisho ya katiba na sheria za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Idris Sultan kuja na documentary ya 'Tanzania ya Samia'

    Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na kuionesha nembo ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ambapo itakuwa ni pamoja na...
  8. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Waraka mfupi sana kwa Wantanzania

    Ndugu zangu na watanzania wenzangu ni matumaini yangu mbukheri wa afya na km haupo sawa Mungu akupe nguvu,Amina. Kwa Leo nimewiwa kuongea na watanzania wenzangu wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli wa nchi hii Tanzania. Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu,pamoja na uchaguzi mkuu Tanzania...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika anakuaje na wasiwasi wa taarifa za wananchi kuhusu utekaji badala ya kuzingatia wito wa kuchunguza?

    Wakuu, Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe! ==== Sheikh Ponda amesema...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Inakatisha tamaa mtu kama Spika wa Bunge anapoelezwa kuhusu taarifa za utekaji anakanusha kuwa si sahihi

    Wakuu, Sheikh Ponda ametema cheche jinsi Spika Tulia alivyozingua na kucheza na maisha ya Watanzania kana kwamba matukio haya hayatokei na watu hawatekwei. ==== Sheikh Ponda amesema; "Namkumbusha Tulia Utekaji sio suala la kisiasa au la kubabaisha, ni suala linalohusu uhai wa watu. Ni suala...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Tauhida Gallos na Miaka Mitano (2020 - 2025) ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 amewasilisha ripoti ya Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2021 - 2025) katikap ukumbi wa Uwanja wa Ndege SACCOS uliopo Wilaya ya Magharibi B. Mhe...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika Tulia arejee taarifa za Bunge masuala ya utekaji yamewahi kufikishwa bungeni na Zitto Kabwe 2018

    Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kurejea kumbukumbu za Bunge, ili kuona namna Mbunge wa zamani wa jimbo la Kigoma mjini Zitto Kabwe alivyowasilisha hoja kuhusu uwepo wa matukio ya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM, Semindu: Uchaguzi mkuu utafanyika, Watanzania wanaelewa

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa hivyo wanachama wa chama hicho na Watanzania wanatakiwa kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza. Semindu ameyasema hayo kwenye ziara ya kuimarisha chama kwenye Jimbo la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Kahe Mashariki wamkabidhi ndafu mbunge Dkt. Kimei kwa utendaji bora

    Wananchi wa Kata ya Kahe Mashariki, wakiongozwa na wazee wa kata hiyo, wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha mwaka 2020 - 2025, kwa kumzawadia ndafu (mbuzi dume) kama ishara ya heshima na shukrani. Wakizungumza...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deogratius Mahinyila, kete mpya CHADEMA. Simba anayekuja juu kwa kasi sana katika medani za kisiasa Tz, Tishio jingine kwa CCM

    Deogratius Cosmas Mahinyila, ni mwanasheria kutoka Tanzania na mwanaharakati wa kisiasa toka chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA. Alipata umaarufu Januari 2025 alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa BAVICHA, Umoja wa Vijana wa CHADEMA, katika uchaguzi uliofanyika Ubungo Plaza jijini Dar es...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Tundu Lissu: Tutaiomba mahakama iamishie shauri Law School ili watu waje wengi

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wanatoa tamko muda huu jijini Dar es salaam mbele ya Waandishi wa habari.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra: Hatutegemei visingizio vyovyote Lissu kutoletwa Mahakamani Mei 19, 2025

    Wakili Jebra Kambole, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kesi ya mteja wao isikilizwe kwa uwazi kuanzia Mei 19, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jumatano Mei 14, 2025, Jebra amesema: "Kama...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe: Waliojiondoa CHADEMA bado hawajafika CHAUMMA

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kikiwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa rasmi nchini...
  19. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawakili wa Lissu: Tujitokeze kwa wingi kusikiliza kesi ya Lissu, Mei 19

    Mawakili wanaomuwakilisha Tundu Lissu wakiongozwa na Wakili Jebra Kambore, Dickinson Matata wanazungumza na waandishi wa habari Mei 14, 2025. Itakumbukwa mteja wao Tundu Lissu anakabiliwa na Kesi mbili uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni. Kesi hizo mbili zinatarajiwa kutajwa Mei...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mambo mazuri aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan, tangu alipochukua uongozi wa Tanzania mnamo Machi 2021, amefanikisha mageuzi mbalimbali katika nyanja za uchumi, siasa, miundombinu, afya, elimu, na diplomasia. Hapa chini ni muhtasari wa mafanikio yake hadi Mei 2025: 🏗️ Miundombinu na Uchumi Reli ya Kisasa (SGR)...
Back
Top Bottom