kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatengeneza Basement; 2050 yupo ajaye. Anatokea chama gani hakuna ajuaye

    Hamjamboni Wote! Pamoja na harakati zake zote lakini Lisu sio Yule Mpakwa mafuta atakayekikalia kiti na kuiweka nchi katika Mstari Sahihi. Na hapa tunazungumzia Mstari wa Haki utakaowapa Uhuru na Amani ya kweli. Mambo ya sijui unanijua Mimi ni nani hayo hayatakuwa na nafasi. Maisha ya watu...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mbagala Khadija Mwago atinga kwenye mkutano wa CHAUMMA

    Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Mbagala, Khadija Mwago (wa kwanza kulia) akiwa na makada wengine wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye viunga vya Golden Tulip, vinakofanyika vikao viwili vya chama hicho leo Mei 19, 2025.
  3. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutunga na wenzake bado wanashikiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (Dar es salaam)

    "Tunaendelea kushikiliwa katika eneo la mahojiano la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam pamoja na @WMutunga na @Honeyfarsafi. Tumeambiwa tu tusubiri afisa mwandamizi afike. Hatujapewa taarifa nyingine yoyote. Bado wanashikilia pasipoti zetu. Huenda tukafukuzwa...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu

    Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka kenya Boniface Mwangi wakisema wanataka kufanya ukaguzi. Boniface alikataa kufungua mlango na kuongea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wanasema wakishika nchi watawalipa Watanzania pensheni, sasa huendi kwenye uchaguzi utashikaje nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mwalimu wa vyama vingine ili waendelee kujifunza kwao. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, mkoani Kagera, katika ziara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Viongozi 10 na wanachama 78 wajiondoa CHADEMA, msimamo wa kutotaja wanapokwenda unaendelea

    Viongozi 10 na wanachama 78 wa CHADEMA mkoa wa Tanga wametangaza kujiondoa kwenye chama hicho, huku hawaelezi wanakwenda kujiunga na chama gani licha ya kuendelea kuwepo kwenue siasa. Viongozi na wanachama hao walitangaza uamuzi huo leo Mei 18, 2025. Viongozi hao ni Katibu Bawacha Mkoa wa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nusrat Hanje atangaza kuhamia CCM

    Wakuu, Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM. ==== Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya Amani Arusha ya Samia First Time Voters. Jokate awataka vijana kujitokeza kugombea nafasi za uongozi

    Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia katika kuwaletea maendeleo, hususan kwenye sekta ya elimu. Kupitia ongezeko la mikopo na...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe yuko likizo. Ukimya wake haumaanishi kwamba amenuna au anafanya sabotage. Mimi naongea nae, hana akili hizo

    Wakuu, Akizungumza leo na waandishi wa habari, Boni Yai amekanusha madai kwamba Freeman Mbowe yuko nyuma ya kundi la G55, akisisitiza kuwa tuhuma hizo si za kweli. Amesema kuwa kwa sasa Mbowe yuko likizo na anaendelea na shughuli zake binafsi kama kawaida.
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geofrey Kiliba wa Mama Asemewe: Vyama vinapaswa kufikisha sera zao kwa kutumia lugha nzuri, sio kiongozi kila mda anafoka

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu kuwachagua viongozi wanaotumia lugha nzuri ili kufikisha ujumbe au sera zao kwa wananchi si viongozi wanaotumia lugha za matusi. Kiliba aliyasema hayo katika Kongamano la Mama...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Si sawa kupima mafanikio ya Traore kwa kumuangalia Kagame

    Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa . Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mimi Boniface Jacob sihami CHADEMA

    Wakuu. Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu. Press itaanza muda wowote kuanzia sasa. Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55? Kaa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kusambaratika kwa CHADEMA ni dalili tosha kuwa bado tuna safari ndefu ya kuwa na vyama imara vya upinzani

    NCCR mageuzi ilikuwa na nguvu miaka ya 1995 ikasambaratika!! CUF miaka ya 2000 ikasambaratika. CHADEMA miaka ya 2015, leo hii imesambaratika na kufa kifo cha mende. Bado hatujapata vyama serious vya upinzani, wengi wao wanapigania maslahi ya matumbo yao na jamaa zao. Nimeamini kuwa CCM...
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anasomaga comments? Je, anaujua ukweli? Je, hakuna mtu wa kumwambia ukweli au hajui?

    Aman iwe kwenye watumishi wa MUNGU Ukiachana na ukweli kwamba mama yetu huyu uongozi umememushinda, maana toka aingie madarakan hakuna hata jema moja ambalo kafanya wala kafanikiwa, kila kitu kaharibu , kila kitu kimemshinda Mfano mdogo kabisa angalia mwendokas, mwendokas ni kitu kidogo kabisa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Tunahitaji kiongozi wa kutuletea maendeleo

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu wakemee wanaotaka kuvuruga Amani ya Nchi. Kiliba ameyasema hayo katika Kongamano la Mama asemewe lililofanyika mkoani Iringa.
  17. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha upinzani, chapata wapinzani!

    Katika utamaduni wa siasa ya vyama vingi, kawaida ni kuwa na chama tawala na vyama vya upinzani. Katika hali isiyoyakawaida, hapa Tanzania, chama kikuu cha upinzani ndio kimepata wapinzani. Ni rasmi sasa CHADEMA inapingwa na wana CHADEMA wa kundi la G55, Chama Cha Mapinduzi, vyama vya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuboresha taarifa zake awamu ya pili inamaanisha yeye mwenyewe haamini kama atatoboa?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kutokujitokeza kujiandikisha au kuhuisha taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ni sawa na mtu kukataa haki yake ya kikatiba kwa hiari, jambo ambalo siyo uzalendo. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumamosi Mei...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA ikiingia mamlakani baada ya reforms kufanyika, kila Mtanzania mwenye miaka 60 atalipwa pensheni ya uzeeni

    Salaam! Hayo yamesemwa Leo na kamanda John Heche makamo mkt wa CHADEMA taifa akiwa kahama. Yaani ikiwa hujaelewa ni hivi, mtanzania yeyote awe boda boda, machinga, muuza mchicha, mkulima ,mfanyabiasha ,mlemavu nk nk, ukifikisha miaka 60,utalipwa pensheni ya uzeeni sababu ulishiriki kuijenga...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Serikali ya Rais Samia imetumia TSh. Bil 571 kwenye matumizi yasiyo na tija

    Akirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija. Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Back
Top Bottom