Radi ya kisiasa sasa inashushwa kwa mahesabu. Si radi ya anga, bali ni ile inayopigwa kutoka maabara za mikakati—ambapo lengo si kuangaza, bali kuchoma. Maji yaliyowahi kuchemshwa yanarudishwa jikoni, lakini safari hii, mvuke unapaswa kufika mbali zaidi.
Kete za madaraka zinachezewa kwa mikono...