Wakuu,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu, afya, mazingira na utalii.
Amechukua fomu hiyo leo Mei 18, 2025 katika ofisi za chama hicho Mtopepo Mjini...