PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) ajivua Uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,879
Reaction score
16,311
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine.

"Najivua, kwa maana ya kwamba sintojihusisha na siasa ya Chama, napumzika. Sitakuwa mwanachama wa chama chochote, napumzika. Hili liwekwe wazi asije mtu akafikiria sijui natoka hapa nakwenda wapi, napumzika kwa sababu nilichogundua katika maisha ya kawaida, siasa haina shukrani. Fanya utakavyofanya, inaweza ikatokea sehemu ukatukanwa bila ya sababu na watu hawazingatii kipi ulichokifanya nyuma. Na hili tumeliona takribani miezi sita, kwamba yupo mtu aliongoza chama takribani miaka 20 lakini leo ukija kuona mtu anatweet neno la Mungu baada ya kushindwa katika uchaguzi, yale maneno yanayokuja kushindiliwa mpaka unajiuliza hawa watu wameandika maneno haya wana kisasi naye? Kawachukulia dada zao au imekuwaje? Lakini ni mashambulizi mpaka unajiuliza hili limetokeaje."

"Ninachoahidi ni kwamba sitaandika kitabu cha kuisema vibaya Chadema, sitaandika kitabu cha nyuma ya pazia, mbele ya pazia ama katikati ya uvungu. Nitakachofanya ni kutulia na kuendelea na harakati zangu. Lakini pia itoshe kusema kwamba pamoja na kuacha kwangu siasa, bado nina nafasi kama Mtanzania ya kuweza kukosoa pale mambo yatakapoenda tofauti."

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine
Tunasubiri matusi toka machadema yakiongozwa na Lema.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine
Kwann aligombea? Unafiki wa mtu mweusi ni hatar sana
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.

Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Akizungumza na Waandishi wa Habari amesema kuwa, amejiondoa CHADEMA na kuacha Siasa kabisa na si kwaajili ya kujiunga na chama kingine

Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
 
Chanzo: Habari Mpya TV
OKTOBA TUNA ✔️
 
Lilikua swala la muda tu Shekhe alikua mpambe wa Wembo hadi Hesikopta amepata sana tunamtakia kila lakheri siasa la kitapeli zakupiga deal hazipo kwa sasa ni siasa za ukombozi
 
Attachments

  • downloadfile-74.jpg
    downloadfile-74.jpg
    187.6 KB · Views: 20
Hii ni habari njema sana kwa chademq.... ukweli usemwe 😁😁😁😁 asilimia 60 ya viongozi waislamu waliopo chadema ni magugu ya ccm
Bado yule mama wa zanzibar mwenyekiti cha wa wanawake😅
 
Back
Top Bottom