Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Spika wa bunge anamuhakikishia mtu ubunge kama nani kwani ubunge unatolewa na spika au wananchi.
Nimesikia spika anamuhakikishia mtu ubunge huko, sasa kwani ubunge unatolewa na wananchi au spika wa bunge tuache kuharibu taswira ya uchaguzi ndio maana tunaka mabadiliko ya kiuchaguzi.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusitisha mara moja mikutano, semina, ziara na makongamano yote yanayowahusisha wajumbe wa vikao vya uchujaji na uteuzi wa wagombea wa ubunge, uwakilishi na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.
Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi...
MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue wakati umefika.
Amesema uchaguzi mkuu sio ajali na kwamba wabunge na madiwani wanajua kila baada ya miaka mitano hufanyika uchaguzi...
Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Tarimba Abbas...
Wakuu ACT wanaendelea na arakati za maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 na sasa ni zamu ya Magreth Lutufyo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya ACT kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanganyika. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa jimbo la Tanganyika, Ndugu Emanuel Ntinda.
Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais, Wabunge na Madiwani na hii ni njia halali ya kushiriki katika ujenzi wa taifa na kuhakikisha kuwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atavunja rasmi Baraza la Wawakilishi Zanzibar ifikapo Agosti 13, 2025, ili kuwezesha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akihutubia leo Jumatatu Juni 23, 2025, Rais Mwinyi amesema: “Kwa mamlaka...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Rais Samia ameagiza kila wilaya ambayo haina VETA ya serikali ijengewe VETA ya serikali. Ujenzi unaendelea katika wilaya 64 Tanzania nzima.
Vile vile, wakati Rais Samia anakula kiapo, kulikuwa na mikoa mitano ambayo haikuwa na...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Jane Rithe, amepewa dhamana baada ya kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya chama, Rithe aliachiwa kwa sharti la kuripoti tena polisi siku ya Jumatano.
Soma pia: Polisi wafika...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Janeth Ritte wa ACT Wazalendo
"Hivi kweli, polisi ambao wana njaa kama sisi, leo tukiamua kushughulika nao watabaki salama? Sisi Watanzania tukisema tumechoka, tunataka kufanya mabadiliko, tunaweza kufanya mabadiliko."
Pia, Soma: Janeth Rithe: Wanawake...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii instagram wa Chama cha ACT Wazalendo wameweka picha ya kipeperushi yenye maandishi yanayodai Janeth Ritte aweze kuachiliwa huru
Je, kwa njia hii wataweza kweli kufanikiwa kupata uhuru wa Janeth Ritte?
Nina maswali matano juu ya sakata hili? Wala Sina maelezo mengi. Kwa ufupi, Serikali imetoa tangazo rasmi kwamba CHADEMA wanaweza kusaini kanuni za Uchaguzi hata sasa na kuingia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Soma, Pia: Wakili Ado November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili...
Salaam!
Nimesikia Mzee Mstaafu akidai Reforms zote muhimu zimeshafanyika.
Sasa ikiwa Reforms zimeshafanyika,
1. Je, Tundu lissu Yuko gerezani kwa kesi ya uhaini kwa tuhuma zipi?
2. Anashtakiwa uhaini juu ya Nini? Alitamka Nini au alishinikiza Nini na kumfanya awe jella?
3. Na ikiwa kweli...
Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii katiba na sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi.
Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.