kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PreGE2025 Vyuma ( Baiskeli) vya Rais Samia zikiwa mtaani Wapiga kura wanafurahia, ni mwendo wa Mitano tena

    Wakuu, Hapo vipi kwa wananchi, mnadhani hawatoi mitano tena kwa Mama? hali ndo hii sasa uko mtaani
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

    Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama! Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
  3. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Luhaga Mpina akubali kuwa Mbunge Wa Taifa, asema Rais Kukiri hilo mbele ya Watanzania ni kwa sababu ya Kazi kubwa ya kijimbo na Kitaifa anayoifanya

    Wakuu, Nipo nafatilia Hotuba ya Luhaga Mpina Mkutano mbele ya Maelfu ya Wanakisesa . Huyu MPINA anapendwa sana ,umati mkubwa ulojaa hapa umethibitisha ubora wake wa kiutendaji, hakika watu hawana Wasiwasi na MPINA Asema, Ugomvi juu ya Mnunuzi wa PAMBA kua Mmoja, bado haujaisha ! Asema, Rais...
  4. R

    PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata nne zinazounda Kisiwa cha Kome, kilichopo katika Jimbo la Buchosa Shigongo ametaja vivuko hivyo kuwa...
  5. R

    PreGE2025 Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ameanza rasmi Kampeni ya `Buchosa inaongea katika Kata ya Nyehunge

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha usafiri kwa wananchi wa Buchosa Zoezi hilo limeanza katika Kata ya Nyehunge, likitekelezwa na mitambo...
  6. R

    Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

    Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
  7. R

    PreGE2025 NEC yazindua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki Zanzibar Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kisiwani Unguja, Zanzibar leo...
  8. Idugunde

    PreGE2025 Mabadiliko wanayoyataka Watanzania ni kuwa katiba ambayo italeta tume huru ya uchaguzi na Wakurugenzi wa Halmashauri kutosimamia uchaguzi

    Alichosema Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya No reform no election sio sahihi. Sababu mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyofanyika 2024 hayajakidhi vigezo vya kuwa na tume huru ya uchaguzi. Tume huru ya uchaguzi ni ka ile ya Kenya ambapo mwenyekiti wake hateuliwi na rais. Uchaguzi hauwezi...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

    Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na...
  11. B

    PreGE2025 Polisi: 'Wachokonozi' Jackson na Joseph wamekamatwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao

    Tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana! ==== WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO. Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikieleza juu ya watu wawili kukamatwa na watu wasiojulikana huko katika...
  12. M

    PreGE2025 Wazee wa mila wamuunga mkono Dkt Kimei kwa kishindo Kahe Magharibi

    Na Mwandishi Wetu, Kahe Wazee wa mila wa kabila la Wakahe na Wamaasai kutoka Kata ya Kahe Magharibi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngasini, Mhe. Goodluck Meshack Mlay, pamoja na wazee wa Mila akiwemo Andasoni Kireja, Godsoni Samweli, Peter Melisoki na Laigwanani David Laiza...
  13. DuaZaMama

    PreGE2025 Patrick Kipangula: Waandishi watakaogombea Uchaguzi Mkuu wasijihusishe na Majukumu ya kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza Waajiri wa Vyombo vya Habari kuhakikisha kuwa Waandishi wa Habari wanaogombea nafasi za kisiasa wanasitisha utekelezaji wa majukumu yao ya kihabari kwa kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi. Taarifa iliyotolewa leo June 21,2025 na Kaimu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Shigongo, atimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani katika kata 6 jimbo kwake Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku. Ufungaji wa taa hizo kwa sasa unaendelea katika kata za Lugata, Bulyaheke, Katwe, Bangwe, Kafunzo na Nyehunge...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mjumbe wa BAKWATA: Tushiriki uchaguzi 2025 kwa amani, tusiige mataifa mengine

    Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu kipindi cha uchaguzi. Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Halmashauri Baraza la Waislamu Tanzania...
  16. Busu la Kenge

    Mbona CCM haijali wakati huu wa uchaguzi kama zamani

    Zamani ikifika mwaka wa uchaguzi mkuu serikali ya CCM ilikuwa ikiwahadaa watanzania Kwa kulegeza maisha vitu kama kushusha bei ya mafuta, chakula N.K kutafuta kura. Lakini kipindi hiki Wala hawajali wanajiamini balaa. Yani Wana uhakika wa kushinda uchaguzi bila hata kujali ugumu wa Maisha ya...
  17. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Dorothy Semu: Fedha za uchaguzi Mkuu zisitumike kuminya demokrasia

    ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26, tumechambua kwa kina matumizi yaliyotengwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mapenzi ya jinsia moja!

    Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia "Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka huu, utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mbele yako...
  19. P

    ACT Wazalendo kuhamasisha kulinda kura ni uchochezi

    Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo. Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi. Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii...
  20. Genius Man

    PreGE2025 Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt na baiskeli hawezi kuwa kiongozi bora

    Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora . Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala maono ikifika kwenye uchaguzi utawaona wanaanza kugawa fedha, baiskeli na vitu vingine hawa hawatufai...
Back
Top Bottom