Tetesi: CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
17,770
19,943
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time 🐒
 
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasamabazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa vuingozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....

Lets wait and see, time will tell.

Until next time 🐒
Tunakushukuru kwa tetesi
 
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
Hv Lissu alipata cheo cha umakamu lini mana mm nimekuja kushtuka tuu kwenye uchaguzi wa 2020 ety n makamu
 
huenda hakuwepo kwenye kikao hicho muhimu, na hakujua kama kuna magari ya chama yanakuja 🐒
Makamu mwenyekiti hakuwepo kwenye kikao cha chama 😂 bc sawa

ndio yaleyale, aliulizwa pesa za join the chain zilipatikana sh ngapi ety hilo swali aulizwe katibu 😂

Yn maswala ya chama kitaifa hayajulikani na makamu mwenyekiti wa chama 😂
 
kiukweli ukata wa fedha umetia kambi na kujikita mizizi chadema 🐒

wanasema hii issue ya lisu na kuchangiwa ni kibinafsi, na kuna kamgomo na mgawanyiko miongoni mwa wanachadema, wapo wanapinga hii habari kwamba ni tabia na mazoea mabaya kuomba omba, na wengine wanakubali aibu iendelee tyu 🐒
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
 
Makamu mwenyekiti hakuwepo kwenye kikao cha chama 😂 bc sawa

ndio yaleyale, aliulizwa pesa za join the chain zilipatikana sh ngapi ety hilo swali aulizwe katibu 😂

Yn maswala ya chama kitaifa hayajulikani na makamu mwenyekiti wa chama 😂
ana ratiba nyingi na ngumu sana za kazi mbalimbali, kitaifa na kimataifa, so mambo mengine yanampita....

huenda haulizagi hata matokeo au feedback za vikao alivyo kosa kuhudhuria 🐒
 
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
Kwani PESA ZA KUNUNUA FOMU Walimu wamezitoa wapi?Zile 300 walizolipa Mahakama ya Kisutu Shangazi yako alichanga?
 
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time 🐒
Mkuu usijiingize kwenye kundi la kupotosha habari, hakuna mahali Mheshimiwa Lisu ameomba kuchangiwa gari. Mkuu unaongopa ili iweje?? Watu kwa hiyari na mapenzi yao ameamua kuchangia.
 
Back
Top Bottom