kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

    Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao. Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu. ==== Hakuna kabila wala Mkoa hata mmoja ndani ya Tanzania hii unaokubaliana na vitendo vya kuua...
  2. Tulimumu

    PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza wajifunze kutoka kwa Hayati Edward Lowassa

    Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni. Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
  3. J

    PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu. Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Ungependa zoezi la Upigaji Kura kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 lifanyikaje?

    Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka kufikia leo ungependa zoezi la uchaguzi lifanyikaje ili kuongeza uwajibikaji, utawala bora pamoja na...
  5. econonist

    PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  6. J

    PreGE2025 Manara: Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini, utakuta Maji, Sukari na Umeme hakuna lakini Media zinajadili Simba na Yanga!

    Katibu Uenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu Alhaj Hajji Manara amesema Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini na Serikali inauunga mkono 100% Manara amesema unaweza kukuta Maji hakuna, Umeme hakuna, Sukari hakuna lakini Wananchi kwenye mitandao ya Kijamii wako busy kuwajadili...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Lema aomba radhi kwa kauli aliyotoa dhidi ya mke wa Nape lakini ashikilia msimamo wake juu ya kauli ya Nape

    Ameandika Lema katika mtandao wa X: "Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika chaguzi zinazokuja, nilijikuta natoa mfano mkali ambao umemgusa bila shaka Shemeji yangu mpendwa...
  8. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box. Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu...
  9. Suley2019

    PreGE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe...
  10. P

    PreGE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine. "Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
  11. Erythrocyte

    Mtanzania Afungua Kesi Mahakamani kuhusu kuzimwa kwa mitandao 2020, Aiomba Mahakama ichukue hatua kali

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka Duniani kwa sasa, Kwamba Mtanzania huyo Mzalendo na mwenye uthubutu, Bwana Kumbusho Dawson, ameifungulia kesi Serikali ya Tanzania Pamoja na Mamlaka za mawasiliano kwa jambo lile la kishamba la mwaka 2020 ili Mahakama ichukue hatua na itamke kwamba jambo kama...
  12. Roving Journalist

    PreGE2025 DC wa Kisarawe, Petro Magoti achangia Mifuko 300 ya Saruji Ujenzi wa bweli la Msikiti, ahimiza na wengine wachangie ili Watoto Warudi mapema kusoma

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza...
  13. britanicca

    DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

    Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe! Kauli ya January...
  14. P h a r a o h

    Tumeanza ujenzi wa kiwango cha lami

    tumeanza ujenzi wa kiwango cha lami, tunategemea kumalizia mapema 2026.
  15. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  16. GENTAMYCINE

    PreGE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

    Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama (Rais) hasa katika Body Language yake kisha...
  17. Freyzem

    PreGE2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?

    Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa! Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata? Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
  18. Cute Wife

    Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

    Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu ni matusi? Kukosolewa kwenu ni uchochezi? Kukosolewa kwenu ni kuleta machafuko? Yaani kama hamtoshei...
  19. Roving Journalist

    LGE2024 Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...
  20. ndege JOHN

    PreGE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

    Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini. Ni swala...
Back
Top Bottom