Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,993
221,562
Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana

Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba

Hali ilikuwa hivi

Screenshot_2024-05-21-19-31-18-1.png
Screenshot_2024-05-21-19-33-18-1.png
Screenshot_2024-05-21-19-39-25-1.png
Screenshot_2024-05-21-19-39-34-1.png
Screenshot_2024-05-21-19-40-00-1.png
 
Huyu Mpigania Haki ukweli mchungu WaTanzania wanazidi kumwamini ukiona watu huko vijijini wanaanza kufunguwa macho na masikio ujuwe jogoo limekaribia KUWIKA

Nilianza kumfahamu huyu jamaa kule LEAT na jamaa yake Nshalla aisee ....Tanapa wamshukuru sana huyu jamaa Community conservation na Scholarship za Mweka
IKama wewe ni Diipdaiva GT angalia picha namba moja hapo juu kwa makini KUNAKITU KINAONGEA
 
Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana

Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Hii si habari njema kwa mwenyekiti mbowe.

Tunafahamu Lissu hakuwa mmoja wa walioandaliwa kurthi kiti mbowe atakapostaafu uenyekiti.
 
Mbowe ataacha uwenyekiti siku wanachama watakapo taka na sivinginevyo au sio kwa shinikizo lenu machawa wa ccm
Eh kumbe wanachama watakapotaka, mm nikajua kuna katiba yenu inayoonyesha ukomo wa uongozi wa Chadema 😂
 
Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana

Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba

Hali ilikuwa hivi

View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Haya baada ya kuhutubia wamepata maji!
 
Back
Top Bottom