kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  2. M

    PreGE2025 Zanzibar: Wanawake tunatakiwa kuingia kwenye majimbo badala ya kuelekeza nguvu kwenye Viti Maalum

    WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za Wanawake Viti Maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo inawafanya kudumaa kuwa...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Tanga: Mrakibu Msaidizi wa Polisi Michael Kaniki awataka wananchi kujiepusha na vurugu wakati wa Uchaguzi 2024 na 2025

    Wakuu, Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora. Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael Kaniki Kaimu Afisa ushirikishwaji Jamii Mkoa wa Tanga amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Katibu Mkuu NLD ampongeza Rais Samia kwa 4R zilizoleta matumaini kwa vingine vya siasa, awaasa wapinzani kufata sheria wakati wa uchaguzi

    Wakuu, Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba. Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R ambayo imeleta matumaini kwa vyama vingine vya kisiasa. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Korogwe: Wananchi wataka vikwazo vya ushiriki mdogo chaguzi za 2019 na 2020 vishughulikiwe kuongeza ushiriki chaguzi za 2024 na 2025

    Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hayo yamebainishwa...
  6. M

    PreGE2025 Wanawake viongozi wanavyoipa migongo mitandao ya kijamii, wapewe elimu upande huu ili wajikomboe

    Na -Nishan Khamis Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya kuwasiliana na jamii, na kushawishi sera za kisiasa. Hata hivyo, changamoto nyingi zinawakabili...
  7. Heparin

    PreGE2025 Albert Chalamila: Inashangaza muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema ovyo Rais Samia

    "Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri kwenye imani na dini ya kiislamu yenye mafunzo sahihi dunia isingemuona anafaa kuwa kiongozi...
  8. Cute Wife

    LGE2024 'Kauli ya Mbowe uchaguzi ni Vita yawaibua wananchi, wamtaja Saasisha' - Media mkiwa chawa wananchi watapona?

    Wakuu, Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi? Mnategemewa kuhabarisha umma juu ya yanayotokea na nyie mnaishia kuwa chawa na kupe wapuuzi wananchi watapata taarifa...
  9. Cute Wife

    DC Kilakala asema Samia Cup imehamasisha wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Ni humu tuu... === Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Babutale kuwa yamekuwa chachu ya hamasa kwa wananchi wakati wa zoezi la kujiandikisha...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Waziri Shaaban Othman ampa kijana wa kundi maalum Tsh. Milioni 1 na kiti mwendo ili aweze kujikimu kimaisha

    Wakuu, Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi! === Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1) kwa kijana wa Kundi maalum ambaye alikuwa na uhitaji na Mheshimiwa Waziri kuweza kumsaidia Kiti...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 CCM Zanzibar washerekea Miaka 4 ya Rais Mwinyi na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba

    Wakuu, CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga kuhamasisha vijana kupitia CCM kushiriki katika uchaguzi na nafasi mbalimbali za uongozi. Kampeni hii...
  12. Cute Wife

    Mkurugenzi wa Dar 24 apatikana Kigamboni

    Wakuu, Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni. Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote. Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 LGE2024 Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT Wazalendo wakiachana na chama hicho

    Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
  14. L

    PreGE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...
  15. B

    PreGE2025 CCM ya Tanzania fanyeni hivi ili kuepuka ya BDP ya Botswana

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Hizi habari si njema sana kwa vyama vilivyoleta uhuru na ambavyo bado viko madarakani, ikiwamo Chama Cha...
  16. N

    PreGE2025 LGE2024 Kwa namna gani Katiba za vyama zinatoa fursa kwa Wanawake kufikia 50/50 katika nafasi za uongozi?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia Chama cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-ZNZ) na wadadu wengine wamekuwa wakiendelea...
  17. Cute Wife

    LGE2024 Wanachama CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia wajitokeza kuchukua fomu kugombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Pia soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
  18. Cute Wife

    PreGE2025 ACT Wazalendo kushiriki kujenga daraja Mto Mnenje, Tunduru

    Wakuu, Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao. ===== Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru...
  19. figganigga

    PreGE2025 LGE2024 Je, itungwe Sheria mpya kuwalinda Wanawake dhidi ya Unyanyasaji kipindi cha Uchaguzi?

    Salaam Wakuu, Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni asilimia 29, hivyo kufanya jumla ya wabunge wanawake kuwa 142 kati ya 393. Vilevile, ripoti ya Tume...
  20. T

    PreGE2025 Hivi Mshindani sahihi wa Rais Samia ni nani?

    Mbona naona kama hakuna mtu anayejitutumua na kutosha kuwa mpinzani sahihi wa Rais Samia kwenye uchaguzi mkuu!
Back
Top Bottom