kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    PreGE2025 LGE2024 Kura za maoni za serikali ya mtaa ndani ya CCM, na kura katika uchaguzi wenyewe, zijumlishwe ili kupima kiwango cha ushindi wa Samia 2025

    Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi. Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
  2. B

    PreGE2025 Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais wetu

    "Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema...
  3. Idugunde

    PreGE2025 CHADEMA ifanye mapinduzi ya ndani kwanza ili kuing'oa CCM

    Kwanza kabisa ni kuwag'oa viongozi wenye vinasaba na CCM kama Mbowe na Mnyika. Pili ni kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwapa elimu Wananchi kuwa CCM sio ile ya enzi za Mwalimu bali sasa ni ya wapigaji. Haya ndio mapinduzi ya kweli kama ya yale ya Cuba yaliowaondoa wanyonyaji. Pia soma...
  4. Torra Siabba

    PreGE2025 Wajumbe Wanawake Kamati za Shehia waleta mabadiliko Shehia za Micheweni, Sera usawa ya Kijinsia bado kitendawili

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa Utekelezaji wake ya mwaka 2005, unathibitisha dhamira ya wazi ya Serikali ya kukuza usawa wa...
  5. Mrndumbarojl

    Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  6. figganigga

    LGE2024 Wanawake Jitokezeni Kugombea na kupiga kura kama mlivyojitokeza kujiandikisha Serikali za Mitaa

    Hivi karibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa Mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI, alisema jumla ya watanzania 31,282,331 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, ambao ni sawa na asilimia 94.83 ya...
  7. Mindyou

    PreGE2025 LGE2024 Shamira Mshangama awataka wazee kuiombea CCM ili iendelee kubaki madarakani

    Wakuu, Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB Wasafi na mke wa Kim Kayndo hivi karibuni alitembelea kituo cha kulea wazee na wasiojiweza akiwa...
  8. figganigga

    LGE2024 AIBU: Tanzania bado watu Wanajisaidia Vichakani. Uchaguzi wa 2024 uwe Mkombozi ili kulinda Mazingira

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa baada ya miaka 60 ya uhuru kuona Watanzania bado Wanajisaidia Vichakani. Hii inatokana na kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Wasiowajibika. Uchaguzi wa 2024 uwe Mkombozi ili kulinda Mazingira kwa kuhakikisha tunachagua Viongozi wanaojielewa bila kujali wanatoka...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Makonda: Sioni mtu wala kabila litakalonizuia 2025 kuzunguka katika taifa hili kutafuta kura za Rais Samia na Mwinyi

    Wakuu, Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM? Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi na Rais Samia kwenye uchaguzi unaofuata. Pia amesema kuwa ameshaona kuna baadhi ya watu wana nia ya...
  10. figganigga

    PreGE2025 LGE2024 Mwanasiasa atakayebandika Mabango ya Kampeni ayaondoe Uchaguzi Ukiisha ili Kulinda Mazingira yetu

    Salaam Wakuu Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi kuondoa mabango yao ambayo yanageuka Uchafu Mitaani. Tamisemi isisimamie kura tu na hesabu bali...
  11. Tea Party

    LGE2024 Kilichofanyika Geita Kwenye Zoezi La Kuandikisha Wananchi Ni Matumizi Mabaya Ya Rasilimali Za Umma, Viongozi Wawajibishwe

    Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu mkubwa uliofanywa ikiwemo uwepo wa wapiga kura hewa takriban 300. Orodha ya wapiga kura...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia ampa Sheikh wa Arusha Land Rover Discovery limsaidie kwenye shughuli za kidini. Hii si Rushwa kabisa?

    Wakuu, Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa viongozi wengine wa dini. Tunataka uchaguzi ufanyike kila mtu akiwa na fursa sawa ya kushindana, kwa...
  13. Lady Whistledown

    PreGE2025 LGE2024 Wanaume washirikije kuwaunga Mkono wanawake Wanaoingia kwenye Siasa?

    Wanaume wanaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kuwaunga mkono wanawake wanaotaka kujihusisha na siasa. Kwa mfano, wanaweza kuanza kwa kuwatia moyo na kuwa na mtazamo chanya kuhusu uwezo wao wa kuongoza. Pia, wanaweza kuwa mabalozi wa mabadiliko kwa kuhimiza jamii ikubali na kuona...
  14. J

    PreGE2025 LGE2024 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI Safari ya CCM 🚍 Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama...
  15. S

    Mchujo wa ndani ya CCM uchaguzi huwa mkali pesa na Rushwa huwa si kigezo ndio maana Lowassa na pesa zake alishindwa kupita

    Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya...
  16. J

    Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

    Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana CCM...
  17. Lady Whistledown

    PreGE2025 LGE2024 Ikitokea Ndugu yako wa Kike anataka kujihusisha na Siasa utamtia Moyo kuendelea?

    Wakuu, Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila mmoja wetu. Kwa muda mrefu sana, sauti za wanawake zimekuwa zikikandamizwa au kupuuzwa, lakini...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 LGE2024 Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia

    Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini Tanzania ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia na kuhakikisha uwakilishi sawa. Vijana wa kike wanakumbwa na changamoto nyingi, kama vile ukosefu wa uelewa wa haki zao za kisiasa, kukosa fursa za kushiriki kikamilifu kwenye kampeni au...
  19. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

    Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
  20. L

    PreGE2025 Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni

    Ndugu zangu Watanzania, Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika kura za maoni za kumtafuta wa kupeperusha Bendera ya CCM...
Back
Top Bottom