Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina ya wanafunzi
Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi...
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?
Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?
Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?
Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?
Comments ziwe fupi fupi sana.
Wakuu,
Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM.
Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda.
Soma pia: Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24
Nimejiuliza tu, hivi kwa post hii, Luhaga Mpina atakuwa salama kweli au...
Wakuu,
Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina?
Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake.
Soma pia: Shamira Mshangama Akabidhi Simu 9 na Kadi 1,000 za UVCCM Mkoa wa Tanga
Swali langu kwa nyie wanabodi, hivi vyama...
Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Mkoa wa Arusha, wagombea tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameondolewa kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya wagombea hao kukosa sifa zinazotakiwa kwa mujibu wa kanuni na...
Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi.
Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilosa, Michael John Gwimile, amesema kuwa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wakuu,
Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X
"Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni na kubandika orodha ya wagombea nje ya muda wa kisheria.
"Wagombea wote wa CHADEMA wameenguliwa...
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wapo wagombea wa CCM ambao wamewekewa pingamizi, hivyo madai ya...
Wakuu,
Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu mapigo.
====
John Mrema kwenye kikao chake na waandishi wa habari juu ya sakata la wagombea...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile kilichoonekana kuwa amekosea kuweka mdhamini sahihi na kushindwa kuelezea vizuri wadhfa anaoenda...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;
"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha siasa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT
Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana hali sihali huko;
"Arumeru Mashariki Kata ya Poli Mtendaji wa Kijiji cha Poli kaogopa kubandika...
"Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa mjumbe 1 tu ambae aliandika kazi ni dereva." - Rahma Mwita kupitia ukurasa wake wa X
Wakuu,
Moto unazidi kufuka.
====
"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.
"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe...
Kama mdau wa michezo, nina wasiwasi mkubwa kuona jinsi siasa inavyozidi kuingia kwenye michezo, hasa kwenye mpira wa miguu ambao unaunganisha Watanzania wengi. Michezo inapaswa kuwa eneo la umoja, burudani na uwanja wa haki kwa wote, bila kuingiliwa na masuala ya kisiasa. Kitendo cha kutumia...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia mbinu za kuwatafutia kasoro mbalimbali.
Miongoni mwa mbinu...
Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa imepangwa dhidi ya wagombea wetu.
ACT Wazalendo tunapenda kumtahadharisha Waziri wa Tawala za Mikoa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.