kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Kwenye chaguzi hizi hawataki mambo za kukamatwa na mabox ya kura, huu ndio muda wamejipanga kuiba kuliko vipindi vyote vya nyuma

    Wakuu jioni inaenda njema? Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika, mambo yatakuwa magumu wakitumia mbinu ile ile. Wamejifunza na wame-adapt, wamekuja na njia nyingine...
  2. Mindyou

    LGE2024 Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama

    Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka. Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni. Soma Pia: Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani Hii ni ishara kuwa hata ndani ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 LGE2024 Mwanamke anahaki ya kuongoza taifa hili. Watu waelewe nchi yetu haiongozwi na Dini wala Mila na desturi bali Katiba ya Nchi

    MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Jàmani! Jàmani! Msijifanye hamnazo. Msiwe vipofu Wakati mnamacho. Mimi Mtu nikimsikia akiongea mambo ya Mila na...
  4. T

    PreGE2025 LGE2024 Je, mwanamke ni mtu duni wa fikra katika uongozi?

    Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke. Watu hawa hawaelewi kwamba uongozi ni kuonyesha watu njia nzuri, bali wapo wengine wanaoweza kuwapeleka...
  5. Lady Whistledown

    PreGE2025 LGE2024 Kuna umuhimu gani wa Wanawake kujiingiza katika Siasa kuanzia wakiwa Wadogo?

    Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi. Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa na umri mdogo, wanaanza kujenga uelewa na uzoefu wa uongozi mapema, jambo linalowaandaa kuwa viongozi...
  6. Cute Wife

    Taratibu inaanza kuwa kawaida kuwa na picha za wanasaisa kwenye jezi za timu, mwisho timu zitakuwa kama vikundi vya wanasesere kwa wanasiasa

    Wakuu, Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa. TFF kwanini maacha haya yatokee? Wanachi wameshapoteza mzuka kwenye timu ya taifa sababu ya hili hili halafu...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

    Wakuu, Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike! Dar es Salaam Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni Mwanza Sensa 1.95 Milioni –...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!

    Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
  9. M

    PreGE2025 LGE2024 Mwenyekiti Serikali Mtaa Sangara ajiunga ACT Wazalendo

    Na Mwandishi wetu Dar. Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya kumaliza muda wake wa uongozi Oktoba 19 Mwaka huu. Taarifa ya viongozi wa ACT Wazalendo Jimbo la...
  10. Erythrocyte

    Tundu Lissu anayeliliwa na Amos Makalla huyu hapa, Anacheeeeka

    Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu. Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa...
  11. J

    PreGE2025 Mtiania Ubunge Moshi mjini amporomoshea matusi Meya Manispaa ya Moshi

    Hali si swari ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)jimbo la moshi mjini ambako kada wa chama hicho na mtia nia wa kiti cha ubunge hapo mwakani kumporomoshea matusi mstahiki meya wa Manipsaa ya moshi,Zuberi kidumo. Taflani hiyo imezuka leo asubuhi nje ya jengo la ofisi za CCM Moshi mjini ambako...
  12. Mindyou

    Mabingwa 49 wanaojiita Madaktari wa Rais Samia watua rasmi na kupokelewa mkoani Arusha

    Jumla ya madaktari bingwa 49 waliotumwa na Rais Samia wamewasili mkoani Arusha, wakipokelewa na uongozi wa mkoa huo kwa lengo la kushiriki kambi ya matibabu ya siku sita itakayohusisha wilaya zote saba za mkoa huo. Madaktari hao wametakiwa kutoa huduma kwa moyo wa huruma na kujituma kwa wananchi...
  13. Crocodiletooth

    PreGE2025 Rais Samia awalipia gharama washiriki kutoka Arusha wanaoiwakilisha Tanzania mashindano ya pikipiki Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba...
  14. Thabit Madai

    PreGE2025 LGE2024 Vyama vya siasa, familia, jamii pande tatu zenye maoni tofauti kwa wanawake kushika nafasi za uongozi

    Na Thabit Madai,Zanzibar UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi Zanzibar bado kitendawili kutokana kuwa wanawake hao wanakabiliana na changamoto nyingi kama...
  15. JF Toons

    Mitaa ya kwenu kimeshapita hiki Mdau?

    Wakuu, Kishingo anauliza, mitaa ya kwenu kimeshapita? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

    Wakuu, Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh...
  17. K

    Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?

    Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki. Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA...
  18. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI pamoja na taarifa za jumla za uandikishaji kwe mikoa, mtoe pia takwimu hizi kwenye ngazi ya Kata na Mitaa

    Wakuu, Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha. Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa kwenye ngazi ya kata na mitaa pia taarifa hizo zipo, kwanini tunapewa kwa ujumla na si kwa kata na...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

    Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
  20. Ninja

    PreGE2025 Rais Samia, anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka kukupoteza na usionekane kabisa 2025

    Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji mzuri nikiwa juu ya farasi lakini nikawa mnyonge nikiwa bila farasi. Au naweza kuwa mpiganaji mzuri...
Back
Top Bottom