kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Singida wafanya dua ya kumuombea Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kaiwada ameongoza maelfu ya vijana mkoani Singida katika dua ya kumuombea Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Wananchi Bungu, Korogwe wamuombea Dua Rais Samia

    Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mongella awataka Wanachama wa CCM kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza, Machi 24, 2025, jijini Arusha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mongella...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) yafuturisha watu 1500 Njombe

    Wakati mwezi wa funga ukielekea ukingoni ,Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imefutulisha watu zaidi ya 1500 wakiwemo madereva bodaboda, bajaji, wafanyabiashara ,viongozi wa dini na Serikali na kisha kutumia fursa hiyo kutoa elimu ya kodi kwa ajili ya ustawi wa nchi. Specioza...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali acheni kumtumia Mwamposa kutafuta uhalali wa kudhibiti na kufungia mitandao ya kijamii

    Wakuu, Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu na kudhibiti mambo ambayo watu wanaona! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ya kijamii ambayo ni...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome. Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tauhida Gallos atoa mkono wa Faraja kwa mjane wa watoto watano (5)

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ametoa wito kwa viongozi wenzake kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kusaidia wanachama wao hasa wanapopata matatizo. Mbunge Tauhida Gallos Ameyasema hayo tarehe 24 Machi, 2024 katika Wilaya ya Magharibi A wakati...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabudi ahoji Kura ya Ndiyo au Hapana ni 'reform'?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwani kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Serikali yake imeridhia mabadiliko katika ule utaratibu wa kupita bila...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar waridhia jimbo la Ukonga ligawanywe mara mbili

    Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa hana mpango wa kurudi CHADEMA: Puuzeni uvumi, mimi bado nipo na kijani (CCM)

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote zinazosambazwa kuhusu mustakabali wake. Kupitia ujumbe wake X (zamani Twitter), Msigwa amesema...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Khadija Taya (Keisha): Wenye ulemavu wapatiwa ruzuku baada ya miaka 14

    Mbunge wa viti maalumu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Khadija Taya maarufu kwa jina la Keisha amesema kwa muda wa miaka 14 vyama vya watu wenye ulemavu havikuwahi kupewa fedha za ruzuku za kujiendesha, na kwamba kuanzia mwaka 2023/2024 ilipatikana bajeti ya shilingi bilioni...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kabudi: Ukiona Wanasiasa Wanazunguka Mikoani Basi Ujue Wamepewa Uhuru na Demokrasia Inafanya Kazi Kupitia 4R za Rais Samia

    Prof.Alikuwa akizungumza kwenye kongamano la kumpongeza Rais Samia na kuangazia mafanikio ya miaka 4 madarakani. -- Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema hatua ya wanasiasa kuzunguka katika mikoa mbalimbali kufanya siasa, inamaanisha mfumo wa vyama...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Christina Shusho: Kujiandikisha na kupata Kadi ya Kupiga Kura ni Uzalendo

    Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi kushiriki katika Uchaguzi kwa njia ya mdomo bali Kadi yako ya Kupiga Kura ndio inafaa na ndio...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fid Q: Kadi yako ya Kupiga Kura itakuwezesha kupiga Kura ili umpate kiongozi ambaye ni chaguo lako

    Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye. Anasema unaposhiriki Kupiga Kura...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Slaa akanusha kurejea Chadema ili agombee Urais 2025

    Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais. Zaidi...
  16. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Oddo Mwisho: Tufanyekazi kwa ushirikiano kutekelezaji Ilani ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amesema Serikali inatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi hivyo ni wajibu wa viongozi kushirikiana na chama ili kuhakikisha kuwa ilani ya CCM inatekelezwa. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira na Askofu Bagonza wakutana na kuteta jambo Karagwe

    WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera. Wasira na Dk...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kabudi: Nyerere alitabiri ujio wa Rais Samia miaka 81 iliyopita

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema umahiri wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatokana na juhudi zilizofanywa na waasisi wa Taifa la Tanzania katika kuwaandaa viongozi. Profesa Kabudi ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 katika mdahalo wa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC: Watumishi mnaojenga Uwanja wa Ndege Sumbawanga acheni wizi, huu sio Mradi wa Mchina

    Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Nyakia Ally Chirukile amekemea vikali ubadhilifu unaofanywa na watumishi wanaotekeleza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Sumbawanga. Akizungumza na wafanyakazi hao Machi 21, 2025 wakati wa ziara ya kushtukiza Chirukile amesema kuna ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya...
Back
Top Bottom