Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua!
=====
katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani. Ameuliza CHADEMA watakomeshaje wakati hawashiriki uchaguzi? Je, hilo lipo kwenye ilani yao? Kama ipo...
Wakuu,
Vituko haviishi, yaani ni mwendo wa kuchapwa na matukio tu! Ikitoka episode moja tunaletewa nyingine kali zaidi iliyoongezwa na pilipili:BearLaugh::KEKLaugh:
Uvivu tu wa kuchambua na kuwatia nguvuni waliotajwa kwenye ripoti ya CAG🌚🌚
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
Wakuu,
Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔
Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa...
Wakuu,
Taratibu mwanga unaanza kuonekana! Chawa wanatagiwa kupigwa vita pande zote, yaani vijana baada ya kuwa mstari wa mbele kuokoa taifa ndio tunakuwa wa kwanza kuzamisha meli!
#PigaVitaUchawa #KataaUchawa
===
Mwenyekiti wa chama cha ADC Shabani Itutu amesema;
Wasanii na wanafuzi wa vyuo...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kipaumbele cha Chama hicho kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila Mtanzania kwenye uchaguzi.
Msimamo huo umeelezwa na Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe, ambaye alikuwa mgeni rasmi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi (Mjomba), amepokea mchango wa pesa kutoka kwa watu wenye ulemavu mkoani Tabora kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge.
Mchango huu umeonyesha upendo na mshikamano wa dhati kutoka kwa jamii ya watu...
Kwa akili na uelewa wa watanzania kwa sasa hawana shida na mabadiliko ya uongozi ,wanachotaka wao ni kula na kulala ?! Watanzania asilimia 97 Wana Imani na ccm.
Kwa hiyo kwa nafasi ya urais msijisumbue sana kwa awamu hii wekeni nguvu kwenye majimbo ubunge na udiwani mkijiimarisha huko ndio...
Wakuu,
Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi.
Ina maana hao wanafunzi hawana hata ka-dining ka sehemu ya kula au canteen ambayo inaweza kuwatosha wote...
Wakuu Mbeya vipi huko ni kweli barabara zimekuwa nzuri kiasi hicho hadi mnarudi CCM?
Aliyerudisha kadi ya Chama amesema ameamua kurudi CCM kwani Chadema hawana mipango inayoeleweka na kwamba maendeleo yanayofanywa na Rais Samia jijini Mbeya sio ya kuyafumbia macho.
Kupata matukio na taarifa...
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa imeonesha kushangazwa na kitendo cha Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kutokutoa kauli yoyote baada ya Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Sigrada Mligo (34), kushambuliwa kimwili.
Ikumbukwe kuwa, tarehe 25 Machi...
Hawa Ni wananchi wa Mwanza, Nyamgana na Ilemela, nimejaribu kuuliza kama wanamfahamu mbunge wao na Mara ya Mwisho kumuona Ilikua Lini, Asee Majibu yao yatakufikirisha
Taarifa kamili hii hapa, ni kutokea eneo la Vwawa
Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Wananchi wa hapo wamekubaliana kwa kauli moja kwamba bila Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi.
Wakuu,
Kada wa CCM Mch Peter Msigwa, amesema Kauli mbiu ya Chadema ya No reform No Election ni kauli butu kwani haiwezi kufanikiwa.
Msigwa amesema Reforms zimeshafanyika na uchaguzi uko pale pale na wananchi wanaendelea kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi watakao wapa maendeleo.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mtambi ametoa kauli hiyo Wakati alipowaalika Viongozi wa Dini katika Futari Ikulu ndogo ya...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, ametoa msaada wa vyakula vya futari na Eid kwa wafungwa wa Gereza la Wanawake Kingolwira na Gereza la Mahabusu Morogoro.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo, Mkuu wa Gereza la Wanawake Kingolwira, SP Atupelye Luwanja, alimshukuru DC Kilakala kwa...
Wakuu
Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali.
Pia, Soma
Kinondoni patachimbika! Wanaotaka Ubunge kibao, yumo Iddi Azzan, Tarimba na mjukuu wa Bakhresa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari.
Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.