kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Simiyu: Asisimame mtu yeyote ndani ya mkoa akaamini ana nguvu kuliko CCM. Hela zinaletwa na Serikali chini ya Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi, ameonya dhidi ya watu wanaodhani kuwa wana nguvu zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Stephen Wasira, Kihongosi alisisitiza kuwa CCM ndicho chenye mamlaka katika mkoa huo. "Asisimame mtu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wanavyuo waazimia kumuunga mkono Rais Samia Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa wazee na watoto

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi za vitu mbalimbali kwa watoto na wazee wanaolelewwa kwenye vituo saba vilivyopo mkoani Shinyanga ili nao washerehekee Sikukuu ya Eid el Fitr kwa furaha. Zawadi hizo zimekabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha kwa niaba ya Rais Samia Suluhu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mfupa uliomshinda Magu, Heche na CHADEMA wanauweza.

    Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
  5. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais samia atoa mkono wa heri kwa watoto wenye mahitaji maalum Iringa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani hapa kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo Mbuzi, Mchele, Mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awagusa watoto wenye mahitaji maalum kwa msaada wa vyakula Kigoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa Sadaka ya vyakula ikiwemo mbuzi, mchele, mafuta ya kupikia, unga, sabuni za kuogea na kufulia pamoja...
  9. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Peter Msigwa Wana Iringa wamekupuuza sana jaribu kufanya "a clear recalculation" kama kweli unataka kuwa Mbunge tena wa Iringa mjini

    KWA NYOMI HILI LA CHADEMA IRINGA MJINI NI WAZI JIMBO HILI NI LA CHADEMA TENA NOV 2025. My bother Peter Msigwa kazi ulioifanya ya kumwondoa Freeman Mbowe kwenye Uenyekiti CHADEMA ni njema sana ila sasa hii team Tundu Lissu na John Heche ina balaa zaidi ya ile ya Freeman Mbowe. Watoto wa...
  10. Mr Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election? Litakuwa kosa la miaka 5!. Simamisheni wagombea acheni kususa

    Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao. LAKINI.. Hawa CCM ukiwaachia upenyo kwa kuwaambia no reform no election hali ukijua kabisa CCM hawana aibu hata wakisimama...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda akabidhi zawadi kwa maimamu na walimu wa madrasa kutambua mchango wao katika kuleta amani kwenye jamii

    Wakuu, Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono umekisha! ==== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amekabidhi Zawadi maalum kwa Maimam wa Misikiti na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini vs Viongozi wa Dili

    Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI. Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi zinazidi sana hususani wakati wa uchaguzi hupaza sauti zao waziwazi ili kukemea udhalimu huo lakini...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia amekwisha toka wampe Tuzo ya Comedy. Mafufu asema Rais Samia ni muigizaji namba moja!

    Wakuu, Chawa mnamharibia mama:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya! Safari hii mama kaingia kwenye mfumo😂🤣, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei agawa pisi za nguo 10,000 kama "mkono wa Eid"

    Wakuu, Kwa wanaomfatilia Fred Vunja Bei alishawahi kusema kuwa ana "interest" za kugombea Ubunge, jimbo analotaka kugombea hakutaja na hata kwenye mkutano mkuu wa CCM pia alikuwepo Leo katoa pisi 10,000 za nguo kama msaada na zawadi katika sikukuu ya Eid
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT yafanya dua ya shukrani kwa miaka 4 ya Rais Samia

    Wakuu, Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imefanya Dua Maalum ya Shukrani na Kumuombea Rais Samia kwa Uongozi wake mahili katika kipindi cha Miaka Minne ulioleta maendeleo na neema kwa Taifa la Tanzania na kuongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Mustafa...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Katavi afuturisha, awahimiza wananchi kumuombea Rais Samia

    Wakuu, Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh: === Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga mkono Rais Samia ili aendelee kitimiza maono ya kusogeza huduma bora za kijamii kwa wanakatavi na...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Kubecha afuturisha na kutoa mkono wa Eid kwenye vituo vya kuelela watoto yatima

    Wakuu, Aloo, kila sehemu ni 'sadaka' tu, afu mwishoni unasikia Samia ametuhimiza tuwe na moyo safi... ni huzuni:BearLaugh::BearLaugh: ==== Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha Kueleka Kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhan Amefuturisha na Kutoa mkono wa Eid kwenye Vituo vya Watoto wenye...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila atoa mkono wa Eid kwa watoto wenye uhitaji

    Wakuu, Viongozi wanachangamkia kuonekana wema si mchezo! === Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya watoto wenye uhitaji kwa ajili ya...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Serengeti kuandamana ili kupinga vitendo vya utekaji vinavyoendelea nchini

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Serengeti kimelaani vikali matukio ya utekaji kuendelea hapa nchini yakihusisha viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, kwamba vitendo hivyo vinaleta hofu kubwa kwa jamii. Hayo yamebainishwa jana na Katibu wa Chadema Kanda ya Serengeti Jacksoni...
Back
Top Bottom