Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa...
Mbunge wa Buchosha Mhe. Eric Shigongo ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
Rais wa Timu ya Yanga Hersi Said ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
Kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome, Mkuu wa Mkoa wa...
Balozi wa Mazingira na mhamasishajI Michael Msechu amehamasisha wakazi wa Mkoa wa Pwani kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa 2025 na kuhamasisha umoja na maendeleo ya Miaka minne ya Rais Samia katika kukuza upendo na umoja miongoni mwetu.
Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara...
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari ya mill 300 na 400 kama wanaigiza ila ndo kweli hivo.
Kula kwa urefu wa kamba ndo slogan ya...
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 31 Machi 2025.
Aidha, Rais Dkt.Mwinyi baada ya kutoka...
Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida.
Ikumbukwe watanza wanawaogopa watu wanaongeza sana kiingereza kwa mfano jamaa zangu wawili walibadili dini...
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinaingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, 2025 kikijivunia utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kimesema kuwa kazi kubwa ya utelekezaji wa Ilani ya CCM, ikiwemo ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeiweka Tanzania kwenye ramani...
Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Kutokana na upande wa serikali kutotaka kukaa pamoja na Vyama vya Upinzani na kuzimaliza...
Angas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza ipasavyo baadhi ya ahadi na miradi muhimu kwa taifa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais...
Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, kuhusu betting, akidai kuwa CCM inawaelekeza vijana kwenye michezo ya kubahatisha badala ya...
Suala hili limekuwa liwatoa ufahamu baadhi ya viongozi wa vyama vya kisiasa, na kuona kwamba wingi wa watu tayari ni ushindi, kumbe haiko hivyo.
kwani ushindi ni strategy za chama husika, kimejipangaje?, kina database ya wanachama waaminifu wa chama kiasi gani? Kwa ngazi ya vijiji, vitongoji...
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano.
Aidha ameongeza kuwa...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili kutekeleza haki yao ya kikatiba.
Aidha, amezitaka mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kufanyia...
Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati na Mkoa wa Dodoma wamefika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Bi. Sigrada Mligo, ambaye amelazwa hospitalini hapo baada ya kuhamishwa kutoka Hospitali ya Mkoa wa Njombe.
Bi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.