kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikigeuka na kuikacha no reforms no election hakuna atakayeichukulia serioua tena

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi. Nitaeleza. 1. Kuna watu wamewekeza pesa, kujipanga. Kuna watu wameshapitapita kwa wadau na...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo

    Ukisikiliza hii video ya Lema akimchana RC wa Chuga utacheka Hadi upasuke lakini ndio ukweli wenyewe. Maana Jamaa Yuko busy na makongamano kuliko kushughulikia Maendeleo. On top of that mda wote anagombana na Mbunge Kwa kugombania nafasi za Ubunge huku akiwaacha watu wa Arusha Wakiwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Kuhusu No Reforms No Election, CHADEMA bado wana nafasi ya kuzungumza na Rais

    No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa. Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: CHADEMA itawatimua watia nia ambao Wataenda kinyume na msimamo wa chama wa kutoshiriki uchaguzi kama hakuna mabadiliko

    My Take Muda utaamua ngoja tuone --- Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesisitiza kuwa ajenda kuu ya chama hicho kwa sasa ni kuhakikisha kunakuwa na mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi kabla ya kushiriki chaguzi zozote. Akizungumza...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wanawaza madaraka, husikii wakizungumzia matatizo ya wananchi! 'Reforms' zimefanyika

    Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa mstaafu wa kanda ya Nyasa Chadema, akiambatana na Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Ndugu Amos Makalla amebainisha kuwa Chama chake cha zamani kinafaa kupuuzwa kutokana na kutokuwa na ajenda zinazogusa maisha ya wananchi na badala yake...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mhalifu wa wizi wa pikipiki Njombe aokoka, apewa spika kusaidia wengine kubadilika

    Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani. Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkabidhi spika aliyoomba ili aitumie kueneza Neno la Mungu na kuwahamasisha wahalifu wengine...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Mbeya itabaki kuwa ngome ya CCM

    Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu. Amesema kata zote zitakuwa chini ya CCM na vivyo hivyo kwa majimbo. Makalla, ameyasema hayo leo, jijini Mbeya, wakati...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA aanzisha Shule katika Kijiji cha Misufini

    Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche John: Aliyempiga Siglada (BAWACHA) achukuliwe hatua za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Heche John, amesema kuwa yule aliyehusika kumpiga Katibu Mwenenzi wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA) Taifa, Sigrada Mligo, achukuliwe hatua za kisheria. Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: CCM watoa tamko kupigwa vibaya Mwenezi wa BAWACHA

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo Mkoa wa Njombe Josaya Luoga kimesema kimesikitishwa na kitendo kilichotokea cha kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chadema ( BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo na kusema hakileti picha nzuri Soma, Pia: Ghasia...
  12. Egnecious

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Wa Temeke akiwasilisha Utekelezaji wa Ilani Kata ya Keko

    Mhe Dolothy Kilave katika utekelezaji wa majukumu yake Jimboni
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kyara wa Chama cha Sauti ya Umma achukua fomu kuwania urais 2025

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Amour Hasi Ali (kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais, Majaliwa Kyara (kulia) katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam. Wakati akichukua fomu hiyo, Majaliwa amesema amepanga kutengeneza Taifa lenye maadili...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana FA akabidhi Hati 33 za Mashamba kwa Wananchi wa Kata ya Kwabada

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na mgogoro wa ardhi wa muda mrefu. Mgogoro huo umekuwa ukiendelea kwa takribani miaka 9 na leo...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kutoa bilioni 335.6 ya miradi ya maendeleo Manyara

    Serikali imepanga kupeleka shilingi bilioni 335.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ili kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Manyara. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, alitoa taarifa hiyo akiwa Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, Wilaya ya Hanang’ wakati akianza...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha CHADEMA kwamba mikutano ya vyama vya siasa inapaswa kufuata sheria na taratibu za mikutano

    Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025. Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Wasira atahadharisha wanaotaka kununua nafasi za ubunge, watumie pesa hizo kufungua biashara maana hawawezi kuhonga wajumbe wote 4,800

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameonya vikali dhidi ya wale wanaotaka kununua nafasi za ubunge, akisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa maadili ya chama na hakitavumiliwa. Badala yake, amewashauri kutumia fedha hizo kuanzisha biashara kama...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Sendiga achukia kukuta zahanati haitumiki, atoa agizo hili

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini ataka Maafisa Biashara kuhamasisha Watu kufungua biashara na sio kufungia biashara

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amewataka Maafisa biashara kuhamasisha wananchi kuanzisha biashara na sio kufungia biashara kama wanavyolalamikiwa. Akizungumza Katika ziara yake ya Usomaji Utekelezaji wa Ilani kipindi cha miaka minne kwa...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sumbawanga yazizima: Wananchi Wamsindikiza Lissu kutoka Uwanjani hadi Hotelini. Polisi washindwa kuzuia maandamo yao

    Sumbawanga leo imezizima. Kila kona ni Lissu. Leo Lissu amefanya mkutano wa aina yake Sumbawanga mjini. Baada ya Wananchi kukoshwa na sera zake pamoja na elimu murua aliyotoa wamefanya maandamano ya kumsindika hadi hotelini alipofikia. Unaambiwa hii haijawahi kutokea kwa historia ya siasa za...
Back
Top Bottom