kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla ingesemwa na kiongozi wa CHADEMA unadhani nini kingetokea? Uhaini? Msajili wa Vyama vya Siasa ametenda haki?

    Wakuu, Naamini wengi kama mimi hatujaelewa kabisa jinsi suala hili linalotishia usalama wa taifa lilivyopita kimya kimya. Ugonjwa kama Ebola ni muda mchache tu kufuta generation ya watu ukiangalia na vile tulivyokuwa duni kwenye suala la afya linapokuja kupambana na magonjwa kama hayo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yamlima barua Mchome, yamtaka ajieleze ndani ya siku 14

    Wakuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu. Mchome ameingia kwenye mgogoro na chama chake baada ya kuhoji...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wafurika kwa Makonda kufanya 'interview'

    Zaidi ya vijana 1,000 wa Mkoa wa Arusha, leo Machi 26, 2025 wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa huo kwa ajili ya kufanya usaili wa kuwania nafasi za ufadhili wa masomo nchini India. Vijana hao wamejitokeza kufuatia tangazo la Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa Serikali ya India imetoa...
  4. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi amesema Rais Samia anastahili pongezi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira kuanza ziara ya siku 3 mkoani Shinyanga

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu. Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Miaka 4 ya Rais Samia tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa wamempeleka wapi?

    Akiwa Rukwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu baada ya kuulizwa Miaka 4 ya Rais Samia ya uongozi wake amesema "tunataka atueleze Dioniz Kipanya aliyetekwa nyara wamempeleka wapi? Dioniz Kipanya ambaye alikuwa Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Sumbawanga...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yakabidhi vifaa na chakula kwa wahanga wa mvua ya upepo mkali Iringa

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo, amewasilisha salamu za pole na misaada mbalimbali iliotolewa na Serikali kwa ajili ya Wananchi walio athirika na mvua ya upepo katika Kata ya Mlenge na Itunundu zilizopo katika jimbo la Isimani. Akizungumza katika zoezi la ugawaji wa...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muhimu sana Tume huru ya Uchaguzi kuyagawa majimbo haya ya Dodoma Mjini, Chemba na Arusha Mjini

    Hii itasaidia sana kuongeza uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi kitaifa na kusogeza huduma za kijamii kisiasa na kiuchmi karibu zaidi na walipo wananchi. Zaidi sana, itarahisisha sana, wananchi kupata huduma za muwakilishi wao na access ya kumuona kwa uhakika na urahisi sana. Ni...
  9. Poa 2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No Reform, No Election' ni agenda sahihi Kwa wakati sahihi tuiunge mkono

    Habarini wadau! Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea. Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa. Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa...
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  11. Jimbi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu anaelezea mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi kwa lugha nyepesi kabisa kueleweka na mtu yeyote

    Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM. Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila mtu, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeweza KUSHUPAZA SHINGO na kung'ang'ania kushiriki kwenye...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na adui Maradhi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, pamoja na ujinga na umasikini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaandaa kikao maalum kuwaita viongozi wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani "kuwafundisha" kuhusu No Reforms No Election

    Wakuu, Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali kwenye kikao maalumu cha kujadili hali ya kisiasa. Kikao hicho kitakachofanyika Aprili 3, 2025...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila amuwashia moto mkandarasi, achukizwa na uzembe barabara ya Kivule

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kitunda, Kivule Msongola na Majohe njia 4 ambayo toka makataba wa ujenzi usainiwe mwaka jana mpaka sasa Mkandarasi amejenga Camp tu na vifaa vya ujenzi havionekani licha ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Mmenitesa kuja kufungua Kituo cha afya badala ya Hospitali

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kuwa hospitali. Ametoa maelekezo hayo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa asema tayari hatua zimechukuliwa dhidi ya Amos Makalla kuhusu CHADEMA kununua virusi vya M-pox na Ebola

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rukwa: Lissu amtangaza Mwenyekiti wa Kijiji cha Ntalamila (CHADEMA) kama mshindi, baada ya Tume kutomtangaza

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Antiphas Lissu ameamua kumtangaza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ikidai kuwa alishinda katika uchaguzi huo na hakutangazwa Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara apotea Katoro kwa siku 19, mumewe anamtafuta

    Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo, Yohana Zakaria, mkazi wa Katoro mkoani Geita, anaendelea kumtafuta mkewe, Tatu Kimori, ambaye alitoweka nyumbani tangu Machi 2 mwaka huu. Tatu, mwenye umri wa miaka 46, alimuaga mume wake akielekea Sirari Mkoani Mara kwa ajili ya kufuatilia mzigo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
Back
Top Bottom