kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu na kauli mbiu ya “No Reforms, No Election” ni mipango ya Mungu au ya Shetani kutusambaratisha?

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Hii ni mada fikirishi. Outline. Utangulizi Declaration of Interest Holistic Approach Mungu na Shetani ni nani na wako wapi. Mpango wa Mungu na Mpango wa Shetani. No Reform...
  3. I

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Kigaila akitoa tafsiri ya 'No Reforms, No Election' enzi za Mbowe

    Hii ndiyo tafsiri ya No Reforms No Election iliyowekwa enzi za Mbowe Sasa ninyi G55 chini ya uongozi wa Mrema tafsiri yenu mmepata wapi? Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naamini mshauri na mdhamini wa G55 ni yule yule aliyeigharimu CHADEMA kwa kulamba asali kwenye kipindi cha Uchaguzi

    Ni yule yule aliyelamba asali ya lowassa 2015 na kumpitisha kuwa mgombea kwa kubadili gia angani. Ni yule yule aliyekuwa nyuma ya Covid19 akiwafundisha mbinu za kuwaingiza bungeni viti maalum kwa barua za siri huku akiwakana mbele za kamera 2020-21 Ni yule yule aliyesema hatogombea uenyekiti...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Yule mzee aliyevuruga Mfumo wa Uchaguzi alimfungua jini kutoka kwenye chupa na imeshindikana kurudishwa

    Uchaguzi ulikuwa ukifanyika angalau kwa heshima japo kulikuwa na dosari za hapa na pale ila angalau hatua zilikuwa zinapigwa taratibu za kuheshimu maamuzi ya raia kupitia box la kura hasa pale raia walipokuwa wanakaza angalau kidogo. Yule mzee alipoonyesha inawezekana kutokuheshimu box la kura...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema wasiifanye 'no reforms no election ' kuwa ni ajenda ya kitaifa, hiyo ni agenda yao ya chama kama vile ilivyo M4C

    Friends and Our Enemies, Kwa kinachoendelea hivi sasa ndani ya CHADEMA ni kitu ambacho kilionelana tokea mwanzo kabisa kuwa kinakuja kutokea,nacho ni MPASUKO... Hatuwezi kufurahia MPASUKO huo ndani ya CHADEMA,lakini ni SUALA lisilojificha TENA. Bad Lucky or Good lucky hii ni nchi ya...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani anatoa pesa za kulipia ukumbi wa mkutano wa G55 na tukio kurushwa mubashara, CCM?

    Wakuu, CHADEMA kunafuka moshi, panatotoka, mvua inanyesha tunaona panapovuja. Lissu alipokuja waliona jamaa anatania na hoja zake, sasa wameona mwamba kashikilia msimamo wamekuwa kama wameamshwa kutoka usingizini, hawaelewi nini kinatokea, nyufa zinaanza kuonekana. Ukiangalia wote hao ni timu...
  8. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania Ni nani mshauri wa Chadema kwa sasa, nimekumbuka sana enzi za kina Prof. Baregu?

    Mtu yeyote anayewahubiria watu kuwa hakutakuwa na uchaguzi, huyo mtu ni tapeli. Ni kwamba uchaguzi utakuwepo Watu wataamka wataenda kupiga kura na matokeo yatatangazwa. Na maisha yataendelea. Ushauri wangu Chadema washiriki uchaguzi kwenye mazingira hayo hayo na matendo yatakayotokea ndio yawe...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kishoa ahoji; Kwa Jeshi hili la Polisi mliloliona kuna wa kuzuia Uchaguzi?

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hadi pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

    Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Msimbazi yamtaka Patrick Asenga ajieleze kwa kupinga Agenda ya 'No Reforms, No Election' mtandaoni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa mbalimbali ambazo Mwanachama huyo amezitoa kwenye mitandao ya kijamii akionesha kwenda kinyume na msimamo na...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TPA: Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya ya Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma itakamilika kwa Wakati

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha Mradi wa Usanifu na Ujenzi wa Bandari mpya wa Mbamba Bay iliyopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma unakamikika kwa wakati na kwa ubora...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Polisi mna hali mbaya, mshahara wa Polisi wa miaka 50, sawa na posho na mshahara wa Mbunge miezi 6

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao. Kwa upande wa John Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne...
  14. Tindo

    JamiiForums Tanzania G55 ni tawi la covid19, CDM halisi kuweni macho

    Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe. Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa...
  15. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita ndani ya CHADEMA imeanza rasmi

    Baada ya Uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema na kumpaata Mshindi Ndg Tundu Lissu alieshinda kwa ushindi mwembamba Dhidi ya Freman Mbowe Mwenyekiti wa Muda Mrefu ( M7 )watalaam wa siasa walionya mpasuko mkubwa kutokea Lissu bado ajue 47% kwenye Chama chake awapo upande wake na wengi wao ndio...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Viongozi jibuni changamoto za wananchi, CCM ni yao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka watendaji wa chama hicho kuhakikisha wanatekeleza mambo yanayojibu changamoto za wananchi, akisisitiza kuwa CCM si chama cha viongozi bali ni cha wanachama wa kawaida. Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo akiwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Watia Nia Waitwao G55, Watia Nia Wote Halali Wakubali Kwa Kauli Moja Kuweka Nguvu Kwenye NO REFORMs NO ELECTION

    Kuna habari zinasambaa eti kuna watia nia wa kugombea ubunge kupitia CHADEMA wanajiita G55, na wanadai kuwa wapo watia nia 200. Hawa watu ni waongo na matapeli. CHADEMA wana utaratibu wa kuwatambua watia nia kwa ngazi zote. Utaratibu wenyewe ni kama ifuatavyo: 1. Kwa ngazi ya ubunge, mwenye...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

    Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election. Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unaishauri CHADEMA ifanye nini kujinasua kwenye mkwamo huo wa ndani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

    Tangu uongozi mpya wa chadema kushika hatamu, pamekuwepo na muendelezo wa uhasama wenye sura ya visasi na kushughulikiana kisiasa, ambao pia ulijidhihirisha kwenye kampeni za uchaguzi wao wa ndani.. Kwa maoni yako kama mdau wa siasa za Tanzania, unadhani ni nani hasa ndie mchochezi wa...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, akiendelea na ziara yake ya siku 5, mkoani Ruvuma, leo Jumamosi tarehe...
Back
Top Bottom