kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu

    Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo vitakavyoonekana kufanyika ubadhilifu. Licha ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi: Bilioni 434.5 kujenga Bandari ya Kisiwa Mgao

    Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi amesema Serikali imegharamia na kuisadia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba na Mkandarasi ambaye ni kampuni ya China Harbour Engineering ( CHEC) kwa ajili ujenzi wa Bandari ya Kisiwa Mgao kwa thamani ya shilingi bilioni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi

    Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Aidha amevitaka vyombo vya habari...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Damas Ndumbaro: Nilishangilia nikapanda juu ya meza Nchimbi ulivyotangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza namna alivyofurahi baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangazwa kuwa Mgombea mwenza wa Urais kwenye mkutano maalum wa CCM, Januari mwaka huu. Akitoa salamu za Jimbo la Songea, leo Aprili 4,2025 wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia

    Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi 'No reforms, No Election' itakavyoiua CHADEMA

    Huu ni wakati muhimu kwa vyama vya siasa kujipanga vyema, maana uchaguzi mkuu ni msimu wa mavuno—wakati wa kuuza sera kwa wananchi na kuona matokeo yake. Ukizubaa, umeliwa. Changamoto ipo kwa CHADEMA na kampeni yao ya "Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi." Kaulimbiu hii ni tamu, inavutia kisiasa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa: Serikali kuanza ujenzi wa reli ya SGR mikoa ya kusini

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini. Akizungumza wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya TRC na waandishi wa habari mkoani...
  9. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto za "No Reforms No Elections"

    Ninavyoelewa mimi ni kuwa kama hapatakuwa na mabaliko katika mfumo na utaratibu wa chaguzi zetu basi hapatakuwa na uchaguzi. Kimsingi sio wazo baya ila panahiajika ufafanuzi. Nina mawazo yafuatayo: 1. Nani ataamua kuwa reform zilizofanyika ni za dhati na zitaleta kweli mabadiliko. K.m...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

    Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila amesema hayo akiwa kijiji cha Nyankanga kata ya Nyamalimbe wilayani...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) yaagiza ukaguzi maalum KITUO CHA AFYA CHA FARKWA

    Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Farkwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Maelekezo hayo yametolewa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLP: Wanaotaka muungano wa vyama na sisi, wakubali mgombea Urais atokee TLP

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Ujao wa Tanzania: Wito wa CHADEMA kwa Mageuzi ya Uchaguzi na Madhara yake kwa Nchi na Demokrasia

    Uchaguzi mkuu ujao wa Tanzania unaelekea kuwa wakati muhimu katika hali ya kisiasa nchini, hasa kutokana na tangazo la chama cha upinzani cha CHADEMA kuwa hawatashiriki kusipokuwa na mageuzi/mabadiliko makubwa katika mfumo wa uchaguzi. Msimamo huu unaonyesha wasiwasi wa kina kuhusu haki na uwazi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani 200 akiwemo diwani wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act Wazalendo Said Mponda, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi 2/4/2025 baada ya kumkabidhi kadi za uwanachama...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Anayetafuta Hela Kupitia CHADEMA anaombwa Aondoke

    "Tumeenda Ikulu baada ya uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020, kwa kauli ya Rais mwenyewe amesema yaliyojitokeza 2019 na 2020 hayatajirudia tena. Tumeshiriki kikao, Mwenyekiti Mbowe anatuongoza, tulikuwa na Mnyika na Kinana alikuwa anaongoza timu ya CCM na nyaraka tunazo, wakasema yaliyojitokeza...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wagombea wa Ubunge CHADEMA kukusanya Saini milioni 15 kupinga Wizi wa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewataka wale wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuchukua fomu za maoni na kwenda nazo majimboni kwa ajili ya kukusanya saini za Watanzania. Kupata matukio na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema. Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nikiwa mzima nashinda ubunge Tarime

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche ameelezea safari yake ya kuusaka ubunge Tarime ambapo ameeleza kuwa hata sasa akiwa mzima anashinda ubunge Tarime, aameeleza pia kuwa na yeye ni mtia nia. Aidha ameelezea mchango wake kwa baadhi ya vijana wengine ikiwemo kwa David Silinde na yeye ndiye...
Back
Top Bottom