Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini CHADEMA wanasema kama hakuna mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi watazuia Uchaguzi usifanyike.
Kupata...
Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza hafla ya uzinduzi wa majengo ya Mahakama ya Tanzania leo Aprili 5, 2025, katika Mtaa wa Tambukareli, jijini Dodoma.
Majengo hayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya utoaji haki, kwa lengo la kuongeza ufanisi na kuimarisha upatikanaji...
Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli .
Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani sana kuona Tanzania ikisonga mbele , kwa sasa tuna Tundu lissu kimtazamo hana tofauti na JPM ...
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia ikiwemo Photocopy Machine pamoja na Kompyuta.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa shule ya Sekondari...
Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki.
Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki.
Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election.
Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe DAU zaidi .
Kwa Lugha nyingine, zile kelele za kukushambulia huku Mbowe akisifiwa na kumwagiwa...
Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma.
Mradi huu unahusisha ujenzi wa nyumba 3,500 ambapo tayari ujenzi wa Awamu ya Kwanza ya nyumba 150 umekamilika kwa gharama ya shilingi bilioni 14.37 na tayari...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Viti Vitatu Tanzania Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa Zanzibar kwenye muendelezo wa ziara yake amefanya zoezi la ukaguzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa Kusini Pemba.
Akiwa katika kikao hiko cha ndani Mshangama alisisitiza viongozi vijana kufanya kazi kwa...
Godbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani.
Hao watu watakaoingia barabarani wataweza kuzuia Uchaguzi usifanyike.
Hatuwezi tena kuvumilia Uchaguzi wa kipumbavu na kihuni...
Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election.
Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya chama kuanzia kamati kuu hadi mkutano mkuu Taifa, tena chini ya uenyekiti wa Mbowe.
Kinachoshangaza...
Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono?
Halafu my friends, ladies and...
Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao.
Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team iliyojitanabaisha kuwa ni team Mbowe wakati wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA mapema mwaka huu.
Kama...
Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema.
Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa na hivyo kumshinikiza mwenyekiti wao TAL pamoja na makamu mwenyekiti waachane na msimamo huo ili...
Chama kikuu cha upinzani, Chadema bado kinaendelea kusimamia ajenda yao ya No reforms, No elections ambayo ina lengo la kuitaka serikali kufanya mabadiriko kwenye sera na kanuni za uchaguzi mkuu.
Vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamikia sera ya uchaguzi kutotoa uwanja sawa kwa vyama vyote...
Wakuu,
Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana.
Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya), na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (nafasi tatu kwa kila jimbo)
Soma pia: Tume Huru ya Taifa ya...
Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu, Baraza kuu na Mkutano Mkuu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Bado nitaendelea na msimamo ule ule wa CHADEMA kuwafuta uanachama, wanachama wanaotaka kukwamisha mipango ya chama.
Kama ningekuwa sehemu ya maamuzi ya CHADEMA, ningeshauri wajibiwe hoja zao zote kwa maandishi, na baada ya hapo utaratibu wa kuwasimamisha uanachama uanze mara moja.
CHADEMA...
Masaa machache yaliyopita kwenye akaunti yao ya mtandao wa Facebook, Chaneli ya Azam TV wamerusha habari kuhusu aliyoyasema Katibu Mkuu wa CCM kuhusu CHADEMA na Agenda yao ya No Reform No Election.
Habari yao yenyewe ni hii hapa👇
Ushahidi kwamba mwaka huu CCM wana hali mbaya sana, ni maoni...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
Wakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.