Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,885
- 128,976
Hawa G55 kwa mtazamo wangu ni cdm maslahi kama walivyokuwa covid19, cdm halisi wanapaswa kuwa macho. Magroup haya mawili yalikuwa ndani ya cdm kusaka maslahi binafsi, na kiongozi wao mkuu alikuwa Mbowe.
Haya ndio magroup yaliyowaleta wanaccm wasaka madaraka ndani ya cdm in the likes of Lowassa, Nyalandu e.t.c. Cdm halisi chini ya Lisu, wahakikishe wanayaweka pembeni makundi haya ya wasaka maslahi ili wabaki salama.
Makundi haya hayajali taswira ya chama mbele ya umma, bali hujali maslahi yao kwanza. Piga chini hawa wote waende kwenye matawi yao mengine ya ccm kama NCCR, TLP nk. Ama kama vipi waende ccm kabisa wakakutane na kina Msigwa, Lijualikali, Katambi, Kafulila nk.