Wakuu,
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho.
Makada hao wamelaani...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025.
Hatua hii imeendelea kusaidia kuimarisha na kuendeleza uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini. Aidha, Ofisi ya Msajili...
1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee
2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba
3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda.
4) "Unaiba kura Kwa njia za...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.
Mambo hayo sita ni...
Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche.
Amesema hawatutakubali tena polisi watuchagulie eneo la kufanyia mikutano kisha akawataka wananchi...
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha Mapinduzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha Uchaguzi ikiwa ni pamoja na kufanya uchunguzi kuhusu vyanzo vya Mapato ya Wagombea, Wapambe wao na Vyama...
Akili zangu za usiku wa kuamkia leo zimenituma kuwaza hivyo.
Yawezekana katabia ka kufanya udalali ndiko kalikokuwa kanazuia CHADEMA wasitangazwe washindi ngazi ya Rais hata kama ni kweli walikuwa wanashinda
Mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA yamenifanya nione tofauti na kuwaza hiki...
Wakuu hali si.......hali!!
Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa...
Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana
Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini vifo vyao vilikuwa vya kinyonge sana....ccm ichakachue inavyoweza, iwanunue chadema inavyoweza...
No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema?
Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
Mwanadiplomasia Nguli na aliyekuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Ktiiba Nchini amegongelea msumari wa No Reform no Election.
Amebainisha hayo akisema kwa sasa uchaguzi umepoteza maana kabisa na kupoteza heshima kwa wagombea na wapiga kura.
Mchambuzi mahiri wa siasa, maendeleo, mwanadiplomasia...
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.
Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic:
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi, CP Charles Mkumbo, amesema jeshi hilo lipo tayari kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ya kulinda raia na mali zao na kuzuia vitendo vyote vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu...
"Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni Katiba ya CHADEMA ambayo imesajiliwa kwa Msajili wa vyama vya siasa, ndio mwongozo namba moja wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais.
Dk Malisa amewasilisha ombi hilo akiomba mahakama itoe zuio la muda kwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tunduru Kaskazini Mzee Mandunda Mandunda, kilomita 2 kutoka mjini baada ya kukosa uwanja wa...
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.
Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.