kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

    Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi. "Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchosa: Shigongo aahidi kuwasilisha bungeni ombi la wananchi kupunguza gharama za kuvuta maji ili serikali ichukue hatua

    Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo kwa wengi kumudu huduma hiyo muhimu. Malalamiko hayo yaliibuka wakati wa mkutano wa hadhara...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Angalia Mangaka walivyo Mpokea Tundu Lissu. No reforms no Election

    Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema; "G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: Lissu na Heche sio watu wa 'kuogopa' uchaguzi!

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema wawili hao ni kama simba, na kwamba wakiamua kuhamasisha wananchi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mwita: Tume hii 'mbaya' ilimpa ushindi Lissu ubunge 2010

    Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema "Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo na madiwani 42. Mwaka 2005 tume ilikuwa ya hovyo sana CHADEMA ilipata majimbo matano na madiwani 72...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

    Hellow! Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha. Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja. Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yashauri marekebisho Tume ya Uchaguzi (INEC)

    Pamoja na kuthibitisha kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimependekeza na kuishauri Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) baadhi ya mambo ya kufanyiwa marekebisho kabla ya shughuli hiyo. Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2025 kuwapata...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani mnataka nini kama mlimpinga Magufuli aliyekuwa anafanya kazi kwa maslahi ya nchi?

    Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu ilikua wanampinga maendeleo ya Kila kitu. Akishughulikia mafisadi wanamuita diktekta, mara katili...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof Lipumba: CUF Kitawakomboa Watanzania

    Wakuu Prof. anadai CUF itawakomboa Watanzania, au G55 waende huko tu Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 === Mwenyekiti wa chama...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Mtwara wafanya Tambiko maalum kwa ajili ya Rais Samia, wajipanga kulinda Ushindi 2025

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" Wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  13. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

    Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM. Wananchi wengi...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kikwete akiosha magari yeye na waheshimiwa wengine ili kuchangisha pesa za ujenzi wa vyoo katika shule za wasichana

    Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha kwaajili ya ujenzi wa vyoo vya wasichana katika shule mbalimbali hapa nchini. Chanzo: ITV USSR
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanda ya kusini: Wananchi wa Naipanga wasimamisha Msafara wa Tundu Lissu wasalimiane

    Wananchi wa Naipanga, jimbo la Nachingwea wasimamisha msafara wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu uliokuwa unaelekea Masasi. Mwenyekiti akasimama kuwasalimia wananchi hao. #NoReformsNoElection
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Emmanuel Nchimbi ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma

    Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Butiku ajilipua, asema uchaguzi ni jambo takatifu, lisizuiwe na yeyote, kiongozi au raia

    Lissu amekuwa failure katika ajenda yake ya kwanza akiwa kiongozi wa chadema. Mzee Butiku anasema uchaguzi ni jambo takatifu. Haliwezi kuzuiwa. https://youtu.be/moFRPTLZiJ0?si=wXKDmukBjuS9eenO
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayeona NO REFORM NO ELECTION haina maana kwake mlango uko wazi kwenda vyama vingine

    No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea...
  19. uvugizi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeota ndoto ya No Reform No election

    Nimeota ndoto ya No election no reform na G55. Sina uchama ila ni mtu wa maombi na nilisikitika Sana kuona mpasuko ndani ya chama Cha chadema. Nilichoonyeshwa ni kama ifuatavyo 1. Walio nyuma na G 55 ni kaka mkubwa mstaafu ,wazee wa mfumo wa kijani . dhumuni ni kumpa kaka mkubwa nafasi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Bony acharuka: aonya G-55 kwa kupinga msimamo wa 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini, Emanuel Zakaria maarufu kama Baba Bony, ametoa onyo kali kwa kundi la G- 55 ambalo linapinga msimamo rasmi wa chama hicho wa "No Reforms, No Election" kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza mara baada ya tamko la aliyekuwa...
Back
Top Bottom