Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Aprili 10, 2025, Mchinjita amesema hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni ilitarajiwa kutoa...
Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza akiwa katika Kituo cha Polisi Central, Dar es Salaam ambapo amesema mwenyekiti wao Tundu Lissu amepeleka katika mazungumzi ya siri kati yake na Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro
Pia, Soma: Mwanasheria wa...
Zikiwa zimebaki wiki chache kufikia Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotion, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Zainabu Katimba naye ametoa neno.
Naibu Waziri huyo amewaomba viongozi wa dini pamoja...
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.
Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kile ilichokiita kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Tundu Lissu, kikieleza kuwa hatua hiyo ni matumizi makubwa ya nguvu na inalenga kuzuia harakati za kudai mageuzi ya kisiasa kupitia kampeni ya No Reforms No Election.
Akizungumza...
TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
TAARIFA YA KUKAMATWA MWENYEKITI WA CHADEMA NDUGU, TUNDU LISSU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika Alhamisi saa 5 asubuhi.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema...
Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu CHADEMA amekataa msimamo wa Chama kuzuia Uchaguzi huku akisisitiza kuwaunga mkono kundi la G55 ndani ya Chama hicho.
Akiwa Bungeni leo Aprili 10, 2025, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani, amehoji hatua ya Serikali kumkamata mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka itoe maelezo ya kina kuhusu sababu za kukamatwa kwake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu anayedaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache...
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.
Pia soma >...
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea kupitia Wasafi FM ameeleza kuwa kuna watu ndani ya CHADEMA mpaka leo hawaamini kama Tundu Lissu ni Mwenyekiti wa Chama na madhara ya kuto kubali matokeo yake ni makundi kuibuka. Ameongeza kuwa hata Freeman Mbowe hakuamini kama anashindwa na...
Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
Kutoka Mbinga eneo la mkutano ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Mughwai Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi
Pia, Soma: Jeshi la Polisi limemkamata Tundu Lissu akiwa Mbamba Bay
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?
Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?
Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa ...
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama.
Kazi inayofanywa na Chadema ni kazi iliyotukuka, ni kama kuwaondoa Wananchi hawa kwenye Makaburi meusi ya fikra...
Tumeona wanafunzi wasio na sifa wakilazimishwa kujiandikisha ili wapige kura.na Watoto wetu wanakuja kutuambia ili hali sisi wazazi tunajua kabisa hawana sifa.
Pengine CCM na ndio mpango wao wa kuwalazimisha watoto wetu Wanafunzi kupitia kwa Waalimu wao wakijiandikisha watapata kura.
Unakuta...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano, Aprili 9, 2025, jijini Dodoma...
Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.