kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

    Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu. Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazelendo wawataka polisi wamuachie huru Tundu Lissu bila masharti

    "Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Gulamali: Tunamuomba Sana Rais Samia Amteue Tena Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani

    Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli hiyo ipo kinyume na Sheria za eneo fulani kwa tafsiri nyingine kwamba lazima utambue unakinzana na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape Nnauye awaonya CHADEMA 'Kuweni na adabu kwa Rais Samia'

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Munde: Watakaosimamia Uchaguzi sio Wakurugenzi. Rais Samia amefanya 'Reforms' za kutosha kuelekea Uchaguzi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kusikiliza na kutekeleza maoni ya wananchi kuhusu reforms za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale. Wanachama hao walipokelewa jana, Aprili 10, 2025, na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikuwa unategemea vyombo vya Usalama vitakaa kimya?

    Wanaukumbi. Unajua kwanini hakuna any Diplomatic Mission kuanzia embassy au Consulate imetoka kusema chochote kuhusu issue ya Lissu,, sababu ni kwamba “kauli zake ni kweli zina viashiria vya ujinai na si siasa pekee.. Lissu unatangaza Uasi kisha unakana Mahakamani ulikiwa unategemea vyombo vya...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Haipendezi serikali kuiba kura

    Inashusha heshima ya serikali kuiba kura au kufumbia wizi wa kura serikali ni chombo kitakatifu hakipaswi kufanya hayo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mwaka huu CHADEMA wamepumzika, Kama hawatoshiriki uchaguzi watashiriki mwaka 2030

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika. Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma: Kuna fukuto la kumuondoa Tundu Lissu CHADEMA

    Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu haina uwezo wa kuzuia uchaguzi mkuu. Aidha, amedai kuwa kuna mipango inayoendelea ndani ya chama hicho...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

    My Take Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nusrat Hanje: Hakuna wa kuzuia Uchaguzi, msiwape umaarufu

    Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao. Hanje ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 10,2025 bungeni Jijini Dodoma Wakati akichangia Makadirio...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amtaka Waziri Ulega kusimamia ujenzi wa madaraja kwa ubora

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya Lindi na Mtwara. Awali baada ya kuwasili mkoani humo alipita katika Kata ya Somanga, Mtama iliyopo...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai Lissu kakamatwa kwa Uhaini, Polisi Ruvuma wasema ni Uchochezi. Mbona mnatuchanganya?

    Wakuu Naomba kuelewa, ni Uhaini au Uchochezi? Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi anasema wazi: Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za uhaini na yupo kituo kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central). Lakini huko Ruvuma, Jeshi la Polisi linasema amekamatwa kwa kosa la uchochezi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mvutano mkali kati ya Viongozi wa CHADEMA na Polisi Ruvuma baada ya Mkutano wa Hadhara Kuzuiwa

    Mvutano umeibuka baina ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma baada ya jeshi hilo kuzuia kufanyika kwa mkutano wa hadhara uliopangwa kufanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Songea. Katika video hii inamuonyesha Makamu Mwenyekiti wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CPA Amos Makalla atua Kusini mwa Tanzania kwa kishindo hii leo. Apokelewa na maelfu ya watu

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi. Ambapo katibu Wetu Msomi mahiri na mtaalamu wa mahesabu na mwenye uzoefu mkubwa sana ndani ya serikali na chama. Amefanya...
Back
Top Bottom