Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,778
Reaction score
3,321
1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee
2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba
3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda.
4) "Unaiba kura Kwa njia za ujanja, ukitangazwa unarudi Kwa Mungu kuomba Toba"
5) " MAMA ni namba mbili ulimwenguni baada ya Yesu/Mtume " Mungu hapaswi kulinganishwa na viumbe vyake.
6) "Mtake,Msitake CCM itashinda na uchaguzi lazima ufanywe" hata kama Sheria hazifuatwi na mifumo mibovu

NB,kulikuwepo na wenye vibuli katika Miaka ya Biblia Takatifu,kama Dola za Babeli,Wafalme kama Pharao,Nebukadreza n k
Vikombe vyao vilipojaa,walitambua ukuu wa Mungu,CCM itakuwa miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom