Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,781
- 16,217
Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana
Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini vifo vyao vilikuwa vya kinyonge sana....ccm ichakachue inavyoweza, iwanunue chadema inavyoweza Lakini mwisho wa ccm upo na utakuwa ni mbaya sana.
Mwisho wa ubaya ni aibu, na hakuna marefu yasiokuwa na ncha..