Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Kulingana na hali ya kisiasa nchini,
kuna uwezekano kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dodoma Alhaji ADAM OMAR KIMBISA kuteuliwa na kupewa jukumu muhimu la ukatibu mkuu wa ccm taifa, kurithi mikoba ya Dr. Emanuel Nchimbi, ambae alieteuliwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm taifa, kua mgombea mwenza wa...
Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokua kwenye jimbo hilo.
Makamba ameyasema hayo wakati wa mikutano mbalimbali aliyoifanya...
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya taifa.
Akizungumza katika dua maalum iliyofanyika nyumbani...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba, kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa kampeni.
Wakizungumza na wanahabari leo, Aprili 2, 2025, jijini Dar es Salaam, wananchi hao wamesema kuwa licha ya kumpa kura Rais...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Dkt Charles Kimei (CCM) baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kuanza kuhoji mambo mbalimbali zikiwemo ahadi zake wakati akiomba kura mwaka 2020.
Wananchi pia wanamlalamikia mbunge huyo kuwa haonekani jimboni kutatua changamoto...
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja...
𝗗𝗞𝗧. 𝗡𝗖𝗛𝗜𝗠𝗕𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗡𝗚𝗨𝗥𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗞𝗢𝗔𝗡𝗜 𝗥𝗨𝗩𝗨𝗠𝗔
𝙉𝙞 𝙯𝙞𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙨𝙞𝙠𝙪 5
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili...
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mkoani Geita, Mhandisi Tumaini Brayson Magesa amezungumza na Manara TV na kufafanua sababu zilizomfanya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Busanda, licha ya kushika nafasi ya tatu katika kura za maoni za uchaguzi wa mwaka 2020.
Amesema anaamini kuwa kila jambo...
Bashungwa Ana mfumo wake wa kizamani Sana .
Anazunguka vijjini na kuwapiga picha watu waliochoka na kukata tamaa ya maisha na kuwarusha mitandaoni
Kwanza unafany kosa kubwa Sana na kudhlilisha watu
Pili ungekuwa smart ungepambana kuondoa umasikini huko vijijini.
Hello!
Najaribu kutumia vizuri ubongo wangu, napata utata kidogo juu ya yafuatayo?
1. Hii ni awamu ya 5 au awamu ya 6 au ni awamu ya 5 second half?
2. Ikiwa hii ni awamu ya 5 second half, ni dhahiri ilani inayotumika ni Ile aliyokabidhiwa Magu 2020-2025. Je ilani mpya inawezekanaje...
https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i
➡Huyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo...
➡Anasema ktk miezi mitatu ijayo; April - Juni, 2025 miongoni mwa mambo 10 yatakayotokea ni upinzani ukiongozwa na CHADEMA utapata...
Sababu ziko nyingi lakini kwa uchache tu haya ndio yanayooneka waziwazi:
1. Wameshindwa kuvunja makundi waliyoyatengeneza kipindi cha kampeni za uchaguzi wao wa ndani. Makundi yanazidi kukomaa na athari yake itakuwa kubwa wakati wa uteuzi wa wagombea. Kuna timu wagombea wake watakatwa hata...
Katibu Mkuu mpya wa NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, amesema chama hicho kipo tayari kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa nafasi za Rais, wabunge na madiwani, huku kikidhamiria kukiondoa chama tawala madarakani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi, ameupinga vikali mpango wa kuligawa jimbo hilo, akidai kuwa hauzingatii maslahi ya wananchi na badala yake unalenga kuwatenga baadhi ya wakazi kwa misingi ya kikanda.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Hata magufuli alisema hivyo hivyo Ile 2020 lakini yaliyotokea Kila mtu anajua.
Kumuamini mwanasiasa tena wa ccm ni kazi sana.
Juzi tu 2024 wameiba uchaguzi wa serikali za mitaa na kuwaengua wapinzani halafu Leo anatoa hizo kauli .. inatia hasira sana...
Mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za...
Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Evaline Munisi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza baada ya kuchaguliwa, Evaline Munisi, Katibu Mkuu mpya wa NCCR-Mageuzi, ameahidi kurejesha hadhi ya chama hicho kwa kuhakikisha...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemas Maganga, leo ameshiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI, ambako ametoa wito kwa waumini kuendeleza amani na mshikamano katika jamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.