Jana nilibahatika kuhudhuria mkutana wa Mhe. Lissu ukweli hoja Hana kuwashawishi wananchi kumchagua ama kuchafua upinzani nashauri wajipange upya.
Nilidhani angezumzia changamoto zinazogusa watu moja kwa moja lakini yeye anazungumzi Sheria za uchaguzi, kwanza umma inatakiwa utambua changamoto...
Mtoto wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul Halim Hafidah Ameir ameahidi kutoa Tsh. Milioni 30 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa...
Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.
Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze...
Mjumbe wa Halmashauri kuu Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema Rais wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema madai yanayotolewa kwamba chama hicho kinaogopa uchaguzi hayana ukweli wowote na kusisitiza kwamba wanachotaka ni mabadiliko katika mfumo wa uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu...
Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia
Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika Quran Takatifu , amewasihi Watanzania wote nchini kua katika kuyatafuta mabadiliko ya kweli na...
Katika kipindi Cha hivi karibuni Chadema wamezindua kampeni ya 'No reform -No election' (NRNE).
Lissu kama mwenyekiti na icon ya chama amejikita zaidi kuelezea ubovu wa katiba na Sheria mbovu za uchaguzi, zinazopekelea kutokuwa na chaguzi zilizo Huru na Haki (free and fair elections). Hili ni...
Naomba na kuipigia magoti serekali yetu juu ya wanasiasa kutamka mambo ya uongo hadharani yenye nia ya kudanganya umma basi sheria kali zichukuwe mkondo wake mara moja Bila huruma yoyote,
Nimesikitishwa sana na matamshi ya HECHE, kuusiana na uwanja wa ndege wa kilimanjaro ya kuwa umechukuliwa...
Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa.
Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mkurugenzi wa kampuni ya kuuza mafuta katika mji wa Moshi Manispaa anatarajiwa kuwa na jukumu muhimu katika kampeni za chama cha CCM.
Hata hivyo, kuna hofu kubwa kuhusu athari za matokeo ya uchaguzi huu katika maisha yake binafsi na afya yake.
Mkurugenzi...
Wakati deni la Taifa linakua kwa kasi ya kutisha, ukweli ni kwamba;
1. Watoto wetu bado wanasoma kwenye shule zenye miundombinu duni sana huku elimu yao ikiwa haijengi kesho bora kwao kwenye dunia hii ya ushindani,
2. Miradi ya maendeleo si barabara, si majengo inajengwa chini ya viwango kwa...
Kampeni Tukufu ya No Reform No Election imeingia Jimbo la Lupa, Mkoani Mbeya na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi.
Elimu kabambe imetolewa kiasi cha Wananchi wote kukubali kwamba sasa ni lazima kwenda na Mkakati wa Chadema ili kuepuka mauaji ya Wagombea wa Upinzani
Awali Mwenyekiti wa Kanda...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza kuleta uvunjifu wa amani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli, marehemu huwa haadhibiwi. Tuangalie waliopo.
Ni ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa 2024 ulikiwa wa...
Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akieleza kuwa haiwezekani uchaguzi kuwa huru na wa haki chini ya mfumo wa sasa.
Akizungumza Jumamosi, Machi 29, 2025, Lindi Mjini mkoani Lindi, Zitto amesema kuwa ACT Wazalendo...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Pascal Chibala amehamia na kutangazwa rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Chibala ameeleza kuwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi unaofanywa na CCM ni sababu kubwa ya kumfanya ahamie chama hicho kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.