Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela.
Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu wa Ilemela kwa moyo kunjufu.
Sitatoa rushwa wala hongo. Najitambua mimi ni mchapa kazi. Jambo...
Hivi umewahi kujiuliza, ikiwa Magufuli angeishi hadi kumaliza awamu zake mbili za miaka 10 ya uraisi, angemuandaa nani ndani ya CCM ili awe mrithi wake wa kiti cha uraisi? Nimekuwa nikiwafikiria watu kadhaa na kukata mashauri yafuatayo;
Makamu wake wa Raisi, Samia - hapa hakuna kabisa hata...
Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni chawa wa kweli. Chawa wa kweli wapo kwa kazi moja tu, kuhakikisha kuwa Maza anaendelea kuongoza. Design...
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki.
https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena kutokana na ukosefu wa ajira na unyonyaji kazini.
Maneno hayo ameyasema leo Aprili 04, 2025 katika...
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa.
Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu kuogopa kukisemea chama badala yake wanaokisemea chama kwa sasa ni wana habari, wasanii, baadhi ya...
1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo
2. No reform no election isingekuwepo leo
3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo
4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali
Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na...
Nilijizuia kulisema hili muda mrefu Ila niweke wazi maana naona inazidi kudhirika nilichokuwa naona kuhusu mh Lisu.
Kiu yetu kubwa ilikuwa kwanza mabadiliko ndani ya chadema haswa nafasi ya juu ili kufanya Chadema kufanya kazi Kama mfumo sio one man show.
Huo ni ushindi mkubwa kwa Lisu wapenda...
Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima!
Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Tundu Lissu, amesema wako tayari kufanya ‘uasi’ ili kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu usifanyike.
Lissu ametoa kauli hiyo leo, katika Mkutano kati ya Uongozi wa Juu na Wanachama wenye nia ya kugombea Uongozi mbalimbali...
Lissu ndicho anachopanga.
Kwa hesabu yoyote ameshajua hawezi kushinda Urais.
Anachofanya sasa ni kuwafanyia roho mbaya wanaCHADEMA wanaoweza kushinda udiwani na ubunge ili wakose wote.
Nadhani ni roho mbaya tu
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa...
CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi.
Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama chao.
Hatujaona mass exodus kutoka kwenye Chama kama iliyokuwepo Freeman alipokuwa Mwenyekiti,hata...
Romanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Maridhiano yalikuwa ni maamuzi ya chama sio Mbowe.
No reform No election ni maamuzi ya chama.
Lissu ulipinga hadharani maamuzi ya chama kuingia kwenye maridhiano mpaka ukawaita viongozi wenzio wajinga.
Leo na wewe vumilia maoni na mitazamo tofauti ya wanachama hiyo ndio demokrasia.
Hii tabia...
Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Chama Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yamekamilika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam. Mkutano huo utafanyika kesho tarehe 03 Aprili 2025 na mgeni rasmi akiwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe...
Nadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wilaya ya Handeni Sophia Masimba amewataka makada wanaotarajia kugombea nafasi ya udiwani na ubunge na waliopo madarakani wilayani humo kuacha tabia ya kuchafuana kwa maneno kwa wajumbe ili kupata nafasi ya kugombea.
Kupata matukio na taarifa...
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe.
Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu 2025.
Utakumbuka kuwa mwaka ijana uliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze matukio ya watu...
Tayari viongozi wa juu wa CHADEMA wanaonyesha wanawagombea wao mfukoni !! Ukisema unawaita watia nia unajuaje kwamba Jimbo Moja Lina watia nia wangapi ? Mfano Mimi Niko Jimbo la Ileje na watia nia ileje wako 70 huyo mmoja mliemuita mmempataje?
Mimi nachojua watia nia watachujwa kwenye majimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.