UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na amani na utulivu wa nchi.
Balozi Nchimbi aliyasema hayo leo Jumapili, tarehe 6 Aprili 2025...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira, akikosoa pia usafirishaji mkubwa wa malighafi kilimo ikiwemo Korosho zinazosafirishwa kwenda nje ya...
Kada wa CCM, Peter Msigwa baada yakumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi mjini Mbamba by, Ruvuma amevitaka vyama vya upinzani kunadi sera mbadala dhidi ya chama tawala, na kuacha kupinga kila kitu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55.
Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima.
Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi ya kubomoa chama.
Habari za kuponyana majeraha hazina tena maana ni vyema kwenda na wale...
Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya kuelezwa makosa yake na sababu za kuenguliwa kwake ambapo pia ni kinyume na Katiba ya nchi ibara ya...
Katika maisha ukifanya kitu chochote kiwe kizuri au kibaya jua kutakuwa na consequences. CCM waliiba kishamba yaani kishamba uchaguzi wa 2019,2020 afu wakarudia the same mistake 2024. Kwa uporaji wa kura uliofanyika CCM hawakutegemea mbeleni kutakuwa na consequences. Sasa wanavuna...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na ujenzi wa ofisi 14 za chama zilizopo katika kata.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo katika kijiji chao.
Wakizungumza na waandishi wa...
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao na wasiwachague.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana kushiriki katika uchaguzi mkuu utanorajia kufaNyika Oktoba 2025 na kuupuuza wito wa chama pinzani unaoshinikiza kutoshiriki katika uchaguzi huo.
Kupata matukio na...
Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani humo mwishoni mwa mwezi machi, mwaka huu 2025.
Wakiongea na Vyombo vya habari mara baada ya...
Wanabodi,
Hata kusipofanyika reforms, uchaguzi wa 2025 CHADEMA ina bonge la fursa!, ila masikini Chadema, they are just too blind to see!, hawajitambui! No election ni utopia!, acheni kucheza makida makida, na kuchezea shilingi chooni!, please wake up my friend!.
Haya ninayoyaandika hapa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amedai kuwa daftari la wapiga kura lina majina mengi yasiyo halali hivyo kutaka daftari hilo liandikishwe upya.
Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana .
Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako.
Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na ustawi wa Taifa lako?
Najua yawezekana nyie G55 mpo kimkakati na mmesha hakikishiwa usalama wa kesho...
Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
" Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi nilikuwa sijaenda Bungeni.
Wakapelekwa Norway, wakapelekwa Malaysia, wakapelekwa na nchi nyingine...
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election."
Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari...
Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania.
Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania chanzo ni CCM. Sasa LISU ndio muarobaini wenyewe ulioletwa na Mungu baada ya kumuokoa na Yale mauwaji...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapongeza wahariri wa vyombo vya habari kwa kutumia taaluma yao vizuri katika kulinda, kudumisha na kuendeleza amani iliyopo nchini.
Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano maalum wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.