kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    PreGE2025 Ni vigumu kuelewa CCM wanapinga nini hasa kwenye No reform no election

    Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini 1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura 2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri mabadiliko ya sheria 3. Mnapinga vyote Sasa kama sheria ambazo kila mwangalizi yeyote , wananchi...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Wakati Afrika Kusini wako busy kutengeneza dawa ya UKIMWI, DC wa Kigoma anahangaika kufanya usafi sokoni

    Huyu alishindwa kabisa kufanya majukumu yake bila kupiga picha na kupost Instagram? Yaani wakati serikali ya Afrika Kusini inahangaika kutafuta dawa ya UKIMWI na Marekani inahangaika kwenda space, viongozi wa CCM wako busy kuzoa takataka ============= Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre. Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makala avishwa vazi la kichifu Mufindi - Iringa

    Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  5. Mganguzi

    Kipigo Cha mwenezi wa CHADEMA Bi Sagrada ,kinanipa maswali ya kujiuliza juu ya utitiri wa wanaCHADEMA wanaopotea Kila siku

    Bi sagrada ni kiongozi wa kitaifa ! Ni mwanamke aliyepokea kipigo kitakatifu mbele ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA na ujumbe wake ndani ya eneo la ukumbi wa mikutano hapo njombe mjini !! Bi sagrada kapigika haswaa kiasi Cha kutapika damu na kufanya taharuki iwe kubwa juu ya majaliwa yake ...
  6. Dalton elijah

    PreGE2025 CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Siglada aliyepigwa na mlinzi

    CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Enyi wanasiasa hasa CCM sare za chama msibani ni za nini

    Nimekuwa nikashangaa sana kuona sare za chama msibani zimetamalaki!! Lakini Leo Nimeshangaa zaidi kuona sare zimevaliwa na watu wazima kabisa!! Ni Hivi zamani nilikuwa nikiona sare za chama (CCM) msibani nilikuwa nadhani huenda marehemu alikuwa mwanachama (mwenzao) Cha ajabu Leo kwenye...
  8. T

    PreGE2025 Dawa ya Uchaguzi Huru na Haki ni nini hasa? Nisaidieni

    Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie. Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea na Serikali akiwemo Rais alikiri hivyo, lakini mwaka 2024 hali ikajirudia na hatimaye CHADEMA na ACT...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yaita watia nia wa Ubunge Nchi nzima kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi. Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu...
  10. stabilityman

    PreGE2025 Mbunge wa Segerea Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akubariki sana

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Mhe. Bonnah Ladislaus Kamoli Mungu akupe maisha marefu hv kuna kata gani jimbo la segerea hujawapa maendeleo kiufup mama chukua maua yako Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  11. M

    PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

    Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika Trilion...
  12. Erythrocyte

    PreGE2025 Picha: Tunduma yavunja rekodi ya mahudhurio kwenye mikutano ya No Reform No Election Kanda ya Nyasa

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa baada ya Mkutano wa Tunduma Jioni ya leo Mengine si lazima sisi kuongeza chumvi ni vema ukajionea mwenyewe.
  13. T

    PreGE2025 No Reform No Election ina logiki lakini mkakati mbovu. Nini kifanyike

    Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini dhana ya No reform No election na kutafakari iwapo itafanikiwa. Kimsingi kuzuia uchaguzi ni ngumu katika nchi hii bila sapoti ya wananchi, wanachama, vyama vya siasa, viongozi wa dini, NGO nk. Tathmini yangu ni kuwa zoezi hili ni kama ifuatavyo: 1 zoezi hili...
  14. peno hasegawa

    PreGE2025 Mfumo wa CCM na Hatari ya Mwenyekiti wa CCM , Kuwa Rais wa Nchi

    Mfumo wa kisiasa nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye Rais wa nchi. Huu ni muundo unaoweza kuleta hatari kubwa kwa utawala bora na demokrasia. Katika hali hii, tunapaswa kuangalia athari za mfumo huu, hasa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Serikali yatoa vyakula na vifaa kwa waathirika wa kimbunga Isimani mkoa wa Iringa

    Serikali imetoa msaada wa vyakula na Vifaa mbalimbali Kwa Wananchi 241wa Kata ya Mlenge na Itunundu zilizopo Jimbo la Isimani, Wilayani Iringa mara baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani humo. Wananchi hao wameeleza namna mvua hiyo...
  16. Joseph Ludovick

    PreGE2025 CHADEMA Inamuogopa Makalla

    Amos Makala akipokea wanachama waliotoka CHADEMA na kujiunga CCM Mbeya leo tar 27/03/2025 CPA Amos Makalla Katibu wa NEC Siasa, itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM amegeuka mwiba kwa CHADEMA.Ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyejipambanua kwa uongozi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Cyprian Musiba ashangazwa na Viongozi wa Upinzani wanaodai hakuna maendeleo kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania

    Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, ameonyesha kushangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa upinzani wanaodai kuwa hakuna maendeleo yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo, Machi 27, 2025, Musiba amesema kauli hizo siyo tu kwamba ni za...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia

    Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
  19. J

    PreGE2025 Wanachama CHADEMA Mbeya watimkia CCM

    WANACHAMA CHADEMA MBEYA WATIMKIA CCM MBEYA: Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kuwa sababu ya kukiamini na kuamua kujiunga na chama hicho. Wanachama hao...
  20. Mganguzi

    PreGE2025 Pamoja na makosa yote Halima Mdee anahitajika kuongeza mapambano ya no reform no election!

    Huyu bidada ni nondo haswaa ,kwa sasa hakuna kiongozi yeyote wa Bawacha aliyejaribu hata theluthi ya ubora wa Halima James Mdee !! Huyu mama na wenzake waingie mzigoni hayo mengine tutaongea tukimaliza mapambano
Back
Top Bottom