kudhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania kuisaidia Msumbiji dhidi ya Magaidi

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi. Aliyasema hayo jana alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika, hususan nchini...
  3. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

    Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake. Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti. Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya michezo ya kubahatisha inashindwa kudhibiti wizi wa makampuni ya kamari .

    Ahlan wa sahlan Kama uzi unavyojieleza ,moja kwa moja nailenga tume ya taifa ya michezo ya bahati nasibu.Tunafahamu kuwa makampuni ya kamari yanalipa kodi kubwa kwa serikali ndio maana yanapewa vibali kuendesha shughuli zao za kinyonyaji. Mada yangu inalenga zaidi katika online casino games...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

    Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani. Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Watawala tumefanikiwa kudhibiti kipindupindu au uwepo wa Covid unaathiri kutokea kwa kipindupindu?

    Kipindi hiki cha December kuelekea January, ni kipindi cha msimu wa maembe, matunda ambayo msimu wake huambatana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Hata hivyo, kwa miaka karibu mitatu sasa , sijasikia habari ya mlipuko wa kipindupindu katika maeneo yoyote ya nchi yetu kama ilivyokuwa...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Paracetamol kudhibiti nyoka

    Paracetamol: Kwa nini dawa inayotumika kupunguza maumivu inaweza kutumika kuua nyoka? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Serikali ya Marekani inatumia paracetamol, ambayo tunaitumia kupunguza homa kuua spishi ya 'Brown Tree Snake' katika kisiwa cha Guam. Nchi hiyo imetumia miligramu 80 ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kudhibiti matumizi ya internet Kwenye laptop yangu?

    Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kudhibiti matumizi ya sukari katika familia yako utaiokoa sana

    Sukari tunayoihitaji mwilini tunaipata katika vyakula tunavyokula. Chapati, majimbi, viazi, mkate vyote hivi vinatupa sukari. Unaweza kabisa kunywa chai bila sukari. Wana historia wanasema kabla ya kugundulika kwa sukari, ingawa afya ya meno haikuwa bora kama ilivyo sasa lakini matatizo ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamishwa mbinu mbalimbali za kudhibiti wezi wa mifugo shambani.
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Austria: Wasiochanjwa Covid-19 kuwekwa Lockdown kudhibiti maambukizi

    Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo. Mamlaka zimekuwa na wasiwasi kuhusu ongezeko la vifo, ikielezwa kuna hofu Watendaji Hospitalini hawatoweza kukabiliana na...
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania China imeuweka mji wa watu miloni 4 kizuizini kwa kudhibiti Covid-19

    Serikali ya China imetangaza kufunga shughuli zote za kawaida kwenye mji wa watu takribani milioni 4, wa Lanzhou na kuaamuru watu kutotoka nje isipokuwa kwa dharura, ikiwa ni jitihada ya kumaliza kabisa maambukizi ya virusi vya corona kwa visa vichache vilivyothibitishwa. Vizuizi hivyo vya leo...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania CCTV zitumike kudhibiti Machinga

    Wafanyabiashara wasiofuata sheria za nchi/jiji wadhibitiwe kwa CCTV baada ya Agizo la kuwaondoa kutolewa. Hakuna haja ya kutumia nguvu kazi kubwa kukimbizana daily. CCTV zisaidie kukusanya ushahid ili zitumike mahakamani (faini iwe kubwa Sana)
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu. My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Apple watengeneza programu ya kuzuia udukuzi unaoweza kufanywa kwa vifaa vyake bila ya mtumiaji kubonyeza 'link'

    Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TFF wekeni kigezo cha vyeti kwa walio na nafasi za usemaji na uhamasishaji ili kudhibiti ufinyu wa akili unaojitokeza

    Jambo hili ni muhimu sana.Utakuta mtu anafanya personal attack kwa muwekezaji na biashara zake kisa alinyimwa mshahara anaoutaka. Jambo hili ni ugaidi wa kibiashara na lisipoangaliwa vizuri litaleta shida sana baadae. Kama wewe ni msemaji wa timu pinzani hakuna sababu ya kuleta personal...
  20. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
Back
Top Bottom