kuchoma moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

    Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
  2. USSR

    Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  3. S

    Si ruhusa kuchoma moto simu yako, tv yako au vifaa vya kielektroniki hata kama vipo ndani mwako umevichoka au kuharibika

    Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub meter) au kifaa chochote cha kietroniki kama takataka hata kama kitakuwa kimebenjuka na kubaki vipande...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

    Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka...
  5. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 The Chanzo na ITV wamechapisha kuwa Lema, Maria wapanga maandamano na kuwatumia GenZ kuchoma moto vituo vya polisi

  6. Just Pray

    Watu wasiojulikana wavamia na kuchoma moto ofisi ya mtendaji mtaa wa Msewe

    MKuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange amemuagiza Mkuu wa Polisi, Wilaya ya Kipolisi Kimara/Ubungo kuwatafuta na kuwakamata Watu wote waliovamia na kuchoma moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe, na kuteketeza nyaraka na samano zote za ofisi hiyo. Tukio hilo la kuvamia na kuchoma moto...
  7. Just Pray

    Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  8. Mshana Jr

    Ubunifu: Sanaa ya kuchoma moto mbao kwa ajili ya kupata rangi

    Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma...
  9. Roving Journalist

    Mbeya: Mwanafunzi wa Form 4 akamatwa kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Serikali Iyela ya Jijini Mbeya aitwaye YESSE CHARLES [17] kwa tuhuma za kuchoma moto vyumba viwili vya madarasa vya Shule hiyo. Ni kwamba, Septamba 13, 2023 huko katika Shule ya Sekondari...
  10. Nyendo

    Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  11. JanguKamaJangu

    Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  12. ndege JOHN

    Ushuhuda: Wanaochomwa moto kwa kuiba siyo kweli wote ni wezi

    Jana limenitokea tukio la kusingiziwa utapeli, ilikuwa hivi: Nilikuwa bar fulani mchana wa saa 10 karibu na ofisi kwetu napumzika, sasa nikaishiwa hela nikamwambia muhudumu naenda kuchukua 10000 nimeiacha ofisini me nikaondoka. Nikafika ofisini baada ya kama dakika 6 nipo kwa nje anakuja dogo...
  13. BARD AI

    Waliofungwa kwa kubaka, kuua na kuchoma moto waachiwa huru India

    Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012. Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu mkubwa wa ushahidi wa uhakika, thabiti na wa wazi huku wakimlaumu Jaji aliyewafunga wanaume hao...
  14. J

    WanaCHADEMA waliobambikiwa kesi ya kuchoma moto ofisi ya chama Arusha wafutiwa kesi

    ..fuatilia hapa chini
  15. Erythrocyte

    Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
  16. Lord OSAGYEFO

    Kwanini Serikalini inasema haikuchoma soko la Karume huku ripoti ya tume haijatoka?

    Soko la Karume limeungua na Serikali imeunda tume na imetoa siku 14 tume itoe majibu ya uchunguzi wake. Kabla ya tume kutoa majibu tayari tumeanza kusikia Serikali ikikana kuhusika kuchoma moto. Kama haitoshi tumeanza kusikia eti mateja ndio wamechoma moto. Je, kwanini Serikali inasema...
  17. Red Giant

    Wezi ni wa kuchoma moto kabisa

    Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea...
  18. Mshana Jr

    Niliwahi kuchoma moto shamba la kijiji

    Nimesoma kwa mshtuko adhabu mpya ya kuchoma misitu ni miaka 15 jela kifungoni! Pengine pia kuna viboko na faini. Halafu nikatafakari mioto inayoendelea kuunguza mabanda na vibanda vya wafanyabiashara ndogo ndogo nchini. Hapo juzi ilikuwa Dar mwenge leo ni Tunduma, sijui baada ya Tunduma ni...
Back
Top Bottom