Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
🔥💪FANYA HIVI KUCHELEWA KUFIKA KILELENI ⬇️
Leo tena tunagusa kitu cha msingi sana tumia dakika 3-5 tu—kuunganisha pumzi zako na mawazo yako. Kila unapovuta pumzi, unaruhusu utulivu kuingia ndani yako.
Tatizo lako la kuwahi kufika, mzizi wake umeanzia katika mfumo wa fahamu – yaani, ule mfumo wa...
Watanzania wanasubiri tamko moja tu kutoka kwenu nalo ni Mmeichukua nchi na mnaiendesha.
Hicho kigugumizi chenu mnachokiendekeza hadi muda huu nchi inaendelea kuwa hivi nawaambia mtakuja kupigwa suprise hamta amini.
Fanyeni maamuzi haraka leo hii la sivyo mtakuja jutia. Samia yuko radhi...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa.
Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
Kama wewe hua una file taxes zako mwanzo wa mwezi, nipo hapa kukukumbusha kua mwisho wa ku file taxes ni tarehe 5 July.
Ukichelewa, utapigwa penalty ya Tsh. 100,000 kwa business na Tsh. 300,000 kwa Kampuni.
Kodi zinazotakiwa kua filed mwezi huu ni hizi;
1. PAYEE na
2. SDL
Kama unahitaji...
Ukweli Mchungu ni Kwamba....
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA.
Na cha kushangaza zaidi?
Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi.
Kipato chako ni namba
Matumizi yako ni namba
Akaunti yako ya benki ni namba
Uwekezaji wako ni namba.
Na hata kufeli kwako —...
Msaada ndugu zangu mwenzio nina changamoto ya kuchelewa kufika kileleni, inanichukua saaa mbili na bado niko strong nifanyeje au kama kuna daktari anisaidie.
Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia.
Haki Mapenzi ni Ubunifu.
Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!??
Ehh!!
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa.
Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
Leo ngoja nikuibie Siri ya compounding effects kwenye Mambo ya Tax.
Leo ni tarehe 8 may 2025, hii Ina maanisha Bado siku 53 tuu tufike tarehe 30/6/25.
Hii ni siku muhimu sana kwa corporate baddies, Gents na Wafanyabiashara wote.
Kwanini?
Tarehe 30/6/25 ni tarehe ya mwisho ku file Audited...
Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka.
AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda.
Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana.
Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na...
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi
Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha ni muhimu kuwa na utulivu zaidi hasa pale unapojiona kuchelewa.
Kushindwa kudhibiti hisia za...
Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika.
Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
Watu wengi wanashangaa na kushtushwa na mtifuano wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA. Wanaona ni jambo jipya. Wengi wameanza na kubashiri chama kupasuka. Lakini ukweli ni kwamba kwa wafuatiliaji na watafiti wa siasa za upinzani hususan zinazohusu CHADEMA na chaguzi zake karibu...
Habari zenu, mke wangu amekuwa akifanyiwa vipimo wanapo mchoma sindano kupata damu KWENYE mshipa damu I nachukua masaa mwili kukata, je itakuwa ni tatizo gani na je nini tiba yake kama ni tatizo?
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
Anonymous
Thread
elimu
elimu msingi
fedha
kuchelewa
malalamiko
msingi
sana
serikali
shule
shule za msingi
ucheleweshaji
uendeshaji
upande
MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha mkitatafakari kwenye weekend hii.
Kwenye akili yako kuna mambo yanaendelea, kuna mambo unayawaza kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.